Kwa kweli humu ndani kuna watu wanatoa ushauri! yani unapata wenye busara, unaokupa solution, unaokufurahisha. kukuongezea siku na kuyaona maisha kivingine kabisa n.k n.k-yet for free(unalipia...
hivi jamani kwa mfano mume ameacha cm yakei mean ameisahau akaenda kwenye mizunguko yake
Halafu mke akawa anapokea cm zake akitoa tarifa mwenyewe hayupo kuna ubaya gani?please naombeni mawazo yenu
Mupenzi wa moyo, Bint Mrembo na Maridadi, na mwenye mapenzi ya Dhati Anahitajika,
Elimu isiwe chini ya kidato cha nne,
Awe mkazi wa DSM.
Napatikana kwa Email ifuatayo, Confidencial_06@yahoo.com...
Top 5 things that drive women crazy
How many times have you heard a woman say, Cant live with em, cant live without em! when it comes to men? Ten? Twenty? A thousand times? No matter...
Kiukweli kupokewa zawadi, vitu vya thamani, mshahara mkubwa, faida kubwa na most of all great attention and love..toka kwa watu ni kuzuri asikuambie mtu! Dunia imeshuhudia baadhi ya watu ambao...
Its Obvious and Abumndantly now days to here wife and lovers are in great faults.And when the suspect is in sense one lover could revolts that,Especially for Women,they say im not satsfied with...
Ni saa kumi na mbili jioni natoka kazini, nampita demu wangu ili nimpeleke kwake na mimi nirudi zangu kwangu.
Mara ananiambia nimpitishe mahala kuna club fulani karibu na kwake akachukue mzigo...
Wajameni nimemfumania dem wa jamaa yangu leo mapema yupo na njemba gest ambayo nami nilikua navinjari manzi flan wa kitaa. Ni bahati mbaya kwa huyo dem manake hakua anajua kama nami ningekua pale...
Kwa mfano mme/Boyfriend kaondoka labda siku iliyopita mchana na karudi nyumbani kesho yake asubuhi
Au kaingia nyumbani saa saa tisa ,kumi au kumi na moja ..imezidi kaingia asubuhi kweupe?
Na hii...
Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje?
Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba...
Mimi ni mvulana wa miaka kati ya 25-28.natafuta msichana wa kuchati naye sms za kimapenzi kwa kuanzia. Awe na umri kati ya miaka 18-30. Awe wa dini yeyote. Aliye tayari tuwasiliane kwa...
Want to improve your love life, but don't know who to turn for advice? Here's our step-by-step guide for getting honest feedback from those who know you better than anyone else your friends...
Ni zaidi ya miezi mitano inakatika sasa, nipo na dada mmoja kimahusiano.sio siri ananichosha kwenye mambo yetu yale ni noma.nikiwa nae tunaenda tano kwa muda mchache yani nakua hoi hadi kufika...
Its this my machine operator, anaishi na mwanamke mitaa ya mabibo na wana motto mmoja. (hawajafunga ndoa) jamaa kajitahidi kapata kiwanja CHANIKA. Na kajenga kibanda chake sasa anataka kuhamia ili...
Wanajamii nisaidieniiiii kuna demu kazini kwetu nilizoeana naye kipindi ana matatizo ya mshahara na mwajiri wetu...nkampa baadhi ya huduma then nikahc kumpenda na kwa muda mrefu namtupia cku moja...
wakuu haya ni ya kweli yametokea leo asubuhi,
kuna rafiki yangu mmoja anampenda sana msichana mmoja hivi..na amekuwa akimueleza lakini yule mschana amekuwa akimkatalia na kusisitiza eti waendelee...
"Hivi mwanaume kakataa mimba we umelea ya nini? Haki ya nani mi mwanaume hajaniachia mimba nikalea, labda aniachie mtoto hapo angalau!"
Hayo ni maneno ya dada mmoja kwenda kwa mwingine ambae ni...