nimeshindwa kuhandle relation mbili kwa pamoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nimeshindwa kuhandle relation mbili kwa pamoja

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkonowapaka, Mar 7, 2012.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  nahisi ni mwanaume wa kipekee sana.

  huwa siwezi kuwa na relation zaidi ya moja at a time..na kama ikiwa hivyo basi ujue lazima ntadakwa tuu!!

  najua si jambo jema kuwa na relation zaidi ya moja bila sababu ila ni jambo ambalo lipo

  nahisi mbinu na ujanja vimenipita kushoto........  alimaliza kunihadithia rafiki yangu........nilikosa cha kumshauri zaidi ya kumwambia atulie tu na wake!
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Relations mbili kwa wakati mmoja? Una bunduki(duduz) ngapi na mioyo mingapi?
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  mahusiano mawili naye ya nini? au kugeza wenzie?
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mungu akuweke hivyo hivyo.....
   
 5. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,069
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja inatakiwa uwe angarau na degree ya uongo.
   
 6. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Mmh dubu chuo gan kinatunuku hiyo degree namie nijisomeshe
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  wengi wanakuwa na mahusiano zaidi ya moja.
  lakini ni lazima siku utakamatika tu, hata utumie
  mbinu gani.
   
 8. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  unapokua na mahusiano ya wapenzi zaidi ya mmoja kuna
  ambaye utakua na malengo nae na mwingine ni bya the way ila
  inahitajika skills ili wote waridhike kwamba wanapendwa na unawajali bila
  hata mmoja wao kujua ..Hili la kuwa na wapenzi wawili kwa mwanaume ni muhimu sana kwani
  Ratio ya mwanaume mmoja ni kwa wanawake saba hadi tisa kidunia

  kwa hiyo inabidi wengine wasaidike kwa njia moja au nyingine
   
 9. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Sasa alitaka relation mbili zote za nini??
   
 10. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  RAHISI SANA! mkikutana mwambie kuwa huyo MKE anamficha, mpango wa pembeni
  anaelezwa ukweli! hawana shida ck hizi kama unaweza kupiga p*****u freshi utamhodhi!


   
 11. marida

  marida Senior Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Handling two gals or boys for one person is just a waste of time,money and u cant give them all the love they nid...at the end u just end up loosing the best ones...coz no woman will be able to accept that we r two and still b with u..So,its better to have the one u real love..


  Another case.. mtu unaposeme wanawake wengi so u must have at least many gals..u will just end up collecting stones and left the Diamonds to goo...


  Bora alivyoamua one relationship....
   
Loading...