I am a Single boy!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
"...nilishamwambia nini wewe, kupenda sana utakuachizi wewe, hayanaga ujuzi yawe, kila mtu analilia mapenzi. KARIBU CHAMA LA BACHELOR ukinipenda namaliza leo leo tu, siku hizi kwa kudanganyana msichana mvulana ishakuwa poa poa tu... HAKUNAGA MAPENZI YALE YAKUGANDA NI ZAMA ZA KALE, MALI ON THE TABLE NOW, KINACHOFUATA NI MIMI NA WEWE. I AM A SINGLE BOY"..!
JF Members especial mabinti mjifunze kupitia huu wimbo!
 
I am a single gal, naruhusiwa? au inatakiwa tu boys? That is nje ya wimbo, Ama wewe hutafuata huo ushauri?
 
I am a single gal, naruhusiwa? au inatakiwa tu boys? That is nje ya wimbo, Ama wewe hutafuata huo ushauri?

Unaruhusiwa sana tu, mimi nimebase kwenye jina la mwimbo "SINGLE BOY"! Ushauri na maudhui ya wimbo uwafikie wote ladies na gents!
 
Back
Top Bottom