Naomba Jibu kwa Wanawake tu..

kula kwa tindo

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
1,330
323
Nimekua najiuliza mda saaaaaana, Ni kitu gani hasa kinawapagawisha wanawake kwa Wanaume wenye Dreadlocks ?{Rasta}
Kwani hata madem wa Kizungu,Wahindi nk, hawaambiwi kitu na hii mijamaa...
 
Hakuna hata moja nimapenzi tu, rasta hazihusu chochote ni pambo kama wale wanaume wanaotia curl.
 
Kha me binafsi hata mwanaume apendeze kiasi gani na awe mzuri kiasi gani kama anafuga rasta kwangu no tena the big NO!!!!! Namchukia niaje!
 
Sipendi dreadlocks naona ni chafu bali long curly hair zinanipagawisha, zinaleta stimulus fulani hivi.
 
Back
Top Bottom