Mke wangu ananikera kwa tabia yake ya kutopenda kuoga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wangu ananikera kwa tabia yake ya kutopenda kuoga

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Avatar mok, Mar 13, 2012.

 1. Avatar mok

  Avatar mok JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 3,148
  Likes Received: 2,594
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  Mke wangu hapendi kabisa kuoga na hii tabia inanikera sana sana.

  Nikimuuliza hana sababu maalum, Je anaweza kuwa anasumbuliwa na nini na ni vipi naweza kutatua hili tatizo?
   
 2. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hahhhhahahahahahaha! Kweli JF haiishi vituko! Mwambie kama ni hivo chumvi hulambi!
   
 3. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,978
  Likes Received: 20,359
  Trophy Points: 280
  Hana tatizo, anakupenda na ameiga tabia yako
   
 4. Avatar mok

  Avatar mok JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 3,148
  Likes Received: 2,594
  Trophy Points: 280
  ila mzuri jamaa imagn ungekuwa wewe.. Tena nksafr ndo anaweza kata ata ck3 af ni mwanamke sasa
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndio pafyum yake!
   
 6. Avatar mok

  Avatar mok JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 3,148
  Likes Received: 2,594
  Trophy Points: 280
  mhhhh!!! o_O
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ana mapepo
   
 8. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Uyu kijana nivi i muongo, kuna mama mmoja clouds fm saa sita kasoro ktk kipindi cha leo tena alikuwa akijadili huu udwanzi pia ukoko, mkeo unamsingizia, wakati ni tabia yako daily kuzama chunvini,... Puhh
   
 9. Avatar mok

  Avatar mok JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 3,148
  Likes Received: 2,594
  Trophy Points: 280
  daah mara pepo mara pafyum mara raha duh kwahy 2pge tambiko
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  wewe si ulikuwa unatafuta mtaala wa biology na chemistry kwenye jukwaa la elimu? Shule hujamaliza mke umemtoa wapi? Au ndo wanafunzi mnaorukia mapenzi mapema baadae mumlaumu ndalichako? Acha kuchezea akili za watu.
   
 11. Avatar mok

  Avatar mok JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 3,148
  Likes Received: 2,594
  Trophy Points: 280
  umeni cot vbaya mjomba co jukwaa la lugha kuna mdogo ang anataka io lakn anataka nimshaur name cjui k2 dat y nkaulza il nkampe mambo umenpata
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  ilikuwa jukwaa la elimu.... Ila ukikua utaacha
   
 13. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Acha kutuzuga bana eeh!!!!! Wewe ndiye unaependa hiyo harufu
   
 14. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  We kweli upo form 1 ona uandishi wako usivyokuwa na nidhamu hatuko facebook hapa
   
 15. Avatar mok

  Avatar mok JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 3,148
  Likes Received: 2,594
  Trophy Points: 280
  kwan tatzo nini
   
 16. Avatar mok

  Avatar mok JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 3,148
  Likes Received: 2,594
  Trophy Points: 280
  aaah bhwaaaa! Ntatapika meeen
   
 17. Avatar mok

  Avatar mok JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 3,148
  Likes Received: 2,594
  Trophy Points: 280
  dah.. Kaka kumbe tatizo ni uandishi sasa umefika kwa lecture..
   
 18. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  ngojeni niwaambie ukweli nimeona hili ukiona mwanamke kama huyu uju mwanaume wake nae anasmell hivyo anaona vyema harufu ziwe sawa sasa ushauri wangu ukifika tu nyumbani kimbilia kuoga uone kama na yeye atooga ukikaa na laprop mpaka usiku ndio uoge na yeye aanaitaji kushabihiana na hiyo harufu yako ndio maana kanisani mkaitwa mwili mmoja na kifo ndiko kitawatenganisha na sio JF DARE 4MORE
   
 19. Avatar mok

  Avatar mok JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 3,148
  Likes Received: 2,594
  Trophy Points: 280
  kutwa mara mbil mjomba na pga maj
   
 20. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ana mimba?mana km mimba tutasema ndivyo ilivyomkalia km yu kawaida......hm
   
Loading...