maamuzi katika ndoa...Amua ni maamuzi yapi yakuamua pamoja. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maamuzi katika ndoa...Amua ni maamuzi yapi yakuamua pamoja.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BAGAH, Mar 14, 2012.

 1. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sote tunafanya maanuzi...throughout your day, every day...mengine yanatokea tu hata huhitaji muda mrefu kuwaza..mf. kupiga mswaki asubuhi
  maamuzi mengine ni kama kuamua nn kipikwe jioni...etc
  ...maamuzi mengi yana athari za muda mfupi...ila yapo yenye madhara ya muda mrefu...AS A MARRIED COUPLE you need to talk about how you will make decisions. WHAT ARE IMPORTANT DECISIONS?
  nimewaza nikaona haya ni mambo muhimu kujadili na kufikia muafaka katika ndoa kabla ya kufanya maamuzi
  1.ni wapi mtaishi...nikimaanisha maisha yenu yatakua sehem gan...mkoa au nchi.
  2.watoto wangapi mtakua nao...
  3.jinsi ya kuwalea watoto...
  4. jinsi gani mtatumia fedha zenu na kuweka akiba!
  5.malengo ya baadae kama wanandoa...
  nimejisikia kushare hayo najua unajua zaidi...tushirikiane!
   
 2. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  watamalizia wanandoa
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  na wewe mwanandoa mtarajiwa..?
   
 4. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  sawa bt nahsi ufahamu wa sekta hiyo bado kwanza
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  maamuzi yote nafanya na mwenzangu, ndo maana hata shati tunaamua pamoja shati gani ivaliwe na suruali gani
   
Loading...