Angalizo/waheshimiwa wabunge waende na wake zao kipindi cha bunge kulinda afya zaokama inawezekana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalizo/waheshimiwa wabunge waende na wake zao kipindi cha bunge kulinda afya zaokama inawezekana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BASIASI, Mar 14, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Nimesoma gazeti moja leo rpc anasema wamekuta nyayo za wanawake wawili tofauti
  wanajiuliza mara mbil mbili ni yupi alieondoka na mali za mh na mbaya wote awakuwa na viatu inavyoonyesha

  swali langu kama mh naibu waziri amekaa siku 5 akalala na machangu wawili je huko dodoma
  wakikaa mwezi ama miezi wanatembeaga na wangapi jamani?????

  Nahisi kuna umuhimu wa kumsikia mh mrema aliposema mke wanngu si mjinga kunifwata kila sehmmu huku dodoma ulizeni wengine usiku wanalala na wangapi??nakumbuka alisema kwenye mwananchi alipohojiwa mkewe mbona anakaba mpaka penalti mzee akaamua kujibu

  nshidi kuna umuhimu wa kila mh kwenda na wake zao hata kama wako kazini mh rais naomba utoe kibali wawe huru mpaka watakapomaliza shguli za bunge hili litasaiidia kupunguza bajeti za vifo kila mwaka kwa wabunge na hasa hela ya safari amabapo mbunge akifa hulipwa kkutokana na dist frm dodoma

  ni muhimu na nyie wamama zetu najua wazee wakirudi na per diem wanawachanganganyi kabisa lakini ikiwezakana kila mbunge akirudi toka dodoma apime kwanza kabla ya kuingiliana na mkewe kuepusha vifo vya kukusudia

  mwisho nawatakia heri wote mnaosaidia waume zenu kuingia dodoma akifika huko kumbukeni kuna basi za shabiby wanakodisha dada zetu kila trip za bungeni kuhakikisha wabunge wanatoa yaliomoyoni wakiwa bungen na sio kufikiria shida za familia zao
  SISEMI MUOMBE MUNGU BASI ZA DODOMA ZIHARIBIKE KIPINDI CHA BUNGE LAKINI KWA IMANI YANGU NASEMA

  SHETWANIIIIIIIIIIIII ASHINDWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE KWA JINA LA YESUUUUUUUUU
   
 2. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni tabia ya mtu tu,hata asipokuwa mbunge anafanya tu,na hata hao wabunge pia sio wote.
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa ni mtaalamu wa kutafuna sungura matope.
   
Loading...