Pete ya Ndoa ni mtama kwa Ladies?

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
5,349
1,224
Nawasikiliza Gerald na Babla wa Clouds FM eti wanadai kwamba wanaume wanatumia sana pete za ndoa kupata wasichana mitaani. Ladies wakikuona una pete ya bei kubwa basi wanajua hapa wamepata mtaji, ukitia neno tu unaye!

Yaani the higher the value of your wedding ring, the higher the chance of been accepted by ladies????

Jamani hii imekaaje????
 
Kwaupande wangu nikikuona na pete ndio hata hadith na wewe kwa sana staki, mashaka hayo wanayo wenye akili fupi
kwani pete ya harusi ndio inayofanya mtu awe salama au mtiifu,inatakiwa mwenye pete ya harusi awe na adabu zake lakini wengine ndio wanaifanya chambo....
 
Kwa kawaida, Pete inatakiwa kutumika kuonyesha kuwa someone is married and not available. Ki-imani, pete (yamini) hutumika kama ushahidi na kiapo cha uaminifu kwa wanandoa na kila mwanandoa anapotembea anapaswa kukumbuka kiapo hicho kwa mwenzake thru hiyo pete na ndiyo maana ideally inatakiwa kuvaliwa wakati wote.

Kwa sasa inawezekana watu wanamatumizi mengine ya pete na inawezekana pia baadhi ya wadada wasio na ufahamu wa kutosha na huruma huwapenda married men kwa sababu za kutaka hela za haraka haraka na kuogopa kubanwa na kunyimwa uhuru wa kujirusha na wengine pia. Hii ni kasumba mbaya inayovuruga na kudondosha ndoa nyingi na inapaswa kupingwa na kulaaniwa na kila mwenye nia njema.

Thnx
 
Ni kweli kabisa kwa maana baadhi ya ladies wanajua kwamba aki mhook mume wa mtu hatamganda, maana lazima arudi kwa mkewe, na yeye atapata muda wa kutanua.:redface:
 
Kwa kawaida, Pete inatakiwa kutumika kuonyesha kuwa someone is married and not available. Ki-imani, pete (yamini) hutumika kama ushahidi na kiapo cha uaminifu kwa wanandoa na kila mwanandoa anapotembea anapaswa kukumbuka kiapo hicho kwa mwenzake thru hiyo pete na ndiyo maana ideally inatakiwa kuvaliwa wakati wote.

Kwa sasa inawezekana watu wanamatumizi mengine ya pete na inawezekana pia baadhi ya wadada wasio na ufahamu wa kutosha na huruma huwapenda married men kwa sababu za kutaka hela za haraka haraka na kuogopa kubanwa na kunyimwa uhuru wa kujirusha na wengine pia. Hii ni kasumba mbaya inayovuruga na kudondosha ndoa nyingi na inapaswa kupingwa na kulaaniwa na kila mwenye nia njema.

Thnx

Ni kweli kabisa.
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe!
 
Na ndio target ya watu kama hao.
A respectable marriaed woman can not fall for such a cheap prey.

Single women do! Not married ones. Na sio 'lowlife' peke yao wanaoingia kwenye huo mtego. Ni misista duu wa mjini. Anaweza kuwa na maisha poa, lakini hataki kuwa na bwana ambaye hataweza kumudu gharama zake!
 
Kuna mantiki ndani yake MKUU.

Vipindi kama vile vinazungumzia events and not ideas.

Mkuu hapa nakataa, labda uzungumzie wanawake/wasichana wa aina gani. Kama ni wale Kuku wa Kienyeji sawa,kama ni wale wanaosema mimi mwanaume asiye na gari simtaki sawa. Lakini kama unazungumzia wale ambao wanataka mapenzi, wanaotaka kuolewa hapa nabisha.

Nakataa kwa sababu mimi sina pete ya ndoa hata kale kwa bei rahisi lakini bado huwa nagandwa tena wengine wake za watu. Hapa mwenyewe huwa natumia busara zangu tu kuepuka kadhia hii.

Hao anaozungumzia huyu ni wale wanaokaa vibarazani na wapaka ina ambao kwao wanaamini maisha bora kwao mpaka waolewe au wapate bwana mwenye nazo.
 
Back
Top Bottom