Fungukeni Wanawake wa Tanzania ....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fungukeni Wanawake wa Tanzania ....!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by HorsePower, Mar 14, 2012.

 1. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kwa muda mrefu sana, wapendwa wetu akina dada wamekuwa wakibanwa na utamaduni wa asili kwa kusubiri kuimbishwa na wakaka. Najaribu kufikiria kuwa, hata kama wao wamempenda mkaka ni ngumu kutamka wazi wazi, na wakijitahidi sana, huishia kuonyesha mapenzi kwa vitendo au kwa kumtega mtu.

  Mara nyingi wao wakifunguka huwa inaleta tafsiri isiyo nzuri sana ndani ya jamii wakati kiukweli ilipaswa na wao pia wapate nafasi nzuri ya kumtamkia yule wanayempenda maana ni haki yao kimsingi.

  Kwa tamaduni za wenzetu wahindi (sina uhakika kama ni wote), wanawake ndiyo huenda kumpropose mwanaume na hii imekubalika kabisa.

  Naomba tuchangie jamani, kuna tatizo gani watanzania wakikubaliana na huu utaratibu wa kugawa fursa sawa kwa wote ikiwemo kuwakubalia na kutokuwatafsiri vibaya wadada wanaofunguka mbele ya wakaka?

  Nawasilisha.

  HP
   
 2. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  HP itachukua muda sana kwa hilo kuweza kufanyika
  Bado tuna ile dhana kuwa mwanamke akikuambia anakupenda yaani akikuanza wewe lazima ana element za ubaya zaidi
  Hata kama atakuwa amevumilia kwa muda mrefu bado dhamira yake na kutoa kile alicho nacho bado inamsuta
  Atakufa na tai shingoni akiona mtu anayempenda anatoka anaenda kumpenda dada mwingine
  Maana kuna wanaume wengine hata zile signs tuu za kuonyeshwa kuwa anapendwa hazioni wala nini
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Sina hilo tatizo...
   
 4. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  AD unaweza funguka kwangu
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kama niko interested na wewe.
  Ntafunguka bila nukta. Lakini lazima nivutiwe nawe. Otherwise I'm not westing my time.
   
 6. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Thats perfect
  Bora kuwa wazi kabisa kuliko kuficha hisia
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Actions speaks louder!
   
 8. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Tufanye nini ili hiyo dhana ya ubaya kwa mwanamke kufunguka iwatoke watu?
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  i know....
  hujambo ?
   
 10. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kukubaliana na dhana kuwa wanawake nao wana nafasi yao kumuapproach mwanaume na wana nafasi sawa ya kudevelop hisia na kumpenda mtu na kuonyesha wazi hisia zao
  Sio suala la kusema kuwa wanaume tuu ndo tuanze hata wao wanaweza
   
 11. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  :redface:
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Nini kikuvutiacho kwa mwanaume?
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Six Pack Abs......
  Dreadlocks......

   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Yaani ni hivyo viwili tu?

  What about swag? You don't dig it? What about intelligence and knowledge? Charm? Goals? Integrity?

  Are you that superficial?
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  You know that waooo lolz.
  Mi sijambo bana we mzima lakini?
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mwanaume awe na kazi, good personality,
  Ucheshi, good sex,........
  Mengine ni ziada ...
   
 17. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ni kweli aisee? Maana naona kama qualification ni hizo aisee mimi nimequalify! Ngija nikupm fasta!
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mi mzima....wewe je?
  siku ntingi sijakuona pande zile..
   
 19. Rada

  Rada Senior Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa kadiri siku zinavyozidi kwenda na kizazi cha dot com haya mambo yanabadilika sana, itakuwa wanaume ndio wanatongozwa na kuringa kama wanawake wanavyofanya.
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahhhh mi ndo nimerudi.
  Nlikuwa lupango kwa muda kidogo.

  We bado unaendaga pande zile?
   
Loading...