Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakina dada wa jf tu kwa umakin naomba mseme wenyewe huwa mnabeba nini kwnye mipochi yenu manake, juzi namwona dada mmoja had kapinda mabega kisa beg la kila sku. Tusaidien jama.....
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Jamani nimechanganyikiwa naombeni ushauri, hivi navyopost hii thread siko sawa na demu wangu hatuongei wiki ya pili hakuliki hakulaliki nilimfuma na jamaa sehemu isyo rasmi kuanzia hapo hakuna...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wazazi wanaoishi Unguja wana mtoto alioko London walimtafutia mchumba mwana wao na wakaamua kumuagiza ndugu yake amuolee mchumba huyo kisheria hapo hapo unguja, bwana harusi wa london akaja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu. Nina Girlfriend ambae yupo mbali na mimi kiasi kwamba tunaweza kukaa almost 6 months hatujaonana ila tatizo nililonalo ni kwamba nina wivu kupita kiasi. Nimegombana nae mara nyingi sana...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Umetoka nyumbani kwako, umevaa kitopu kifupi na kimini kiko juu ya mapaja. Umepanda daladala, ukisimama tabu, ukikaa tabu. Maana ukisimama basi kile kitopu kinapanda juu angani...mambo yote...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
Kama umeolewa na ni mwana jf, tueleze kwa umakini kwa niniwengi wenu mnabadilika mara baada ya kuolewa na kuwachukia ndugu hasa pande za waume wenu? Na sema wakina mama nikiwa na mifano hai hasa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kweli mambo huenda yakabadilika, zamani karibu asilimia 90 ya ndoa zote zilizo fungwa zilikuwa ni za watu kati ya miaka 20 hadi 25 na 30 kwa waliochelewa kuoa Now days mambo ni tofauti kabisa...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu Mambo? Ni Jumamosi nyingine tena imewadia ambapo kama kawaida natoka na "fact" na leo ni ukweli kuhusu bao la kwanza. Ni ruska kuliachia liwahi na huwa linautamu wake wa zaiada kutokana...
0 Reactions
13 Replies
14K Views
Nina kabinti kangu kapo darasa la sita mapepe kweli, naogopa wahuni wasije wakakatundika mimba nataka nikaweke vijiti vya uzazi wa mpango ili wahuni wasikakatishe masomo na kuniletea mimi balaa la...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuna ile dhana au niseme imani kuwa wanaume ndio pekee wenye kutaka ngono mara nyingi na ndio maana wanahitaji mwanamke zaidi ya mmoja ili kuridhika kikamilifu. Napenda utambue kuwa dhana hiyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Another side to domestic violence By ELKA ZWICK Special To The Tampa Tribune Published: October 11, 2010 October is Domestic Violence Awareness Month. Across the nation, the news wires are filled...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimepata gf ambaye tunapendana sana tu. ana sifa ninazozitaka kuwa mke wangu, lakin nikitembea nae njiani najisikia inferior coz mie mfupi af yeye mrefu. niendelee nae au nitafte mfupi mwenzangu...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Mouth cancer cases soar above 6,000 a year for the first time, figures reveal, thanks to rise in oral sex Oral cancer cases have risen above 6,000 a year On the increase: Oral cancer...
0 Reactions
3 Replies
713 Views
Wadau wa MMU, habari zenyu bana. Juzi kati nilikuwa nimekaa kwenye kiti kirefu mahali fulani katikati ya jiji, pembeni yangu kulikuwa na meza wamekaa mashostito wawili wanapiga stori huku...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Ili usiumie muache kabla hajakuacha.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tabia hii inistaajabishwa kwa wanawake, wanataka kudanganywa na kuingizwa mjini. Mwanaume akikupenda wala hana nia ya kukutongoza wala kutaka mchezo mchafu mbio kumfukiria mambo mabaya. Hivi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
WOMEN who read romance novels make love twice as many times as those who do not read them...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
MMU NIAJEEE?!.... BIYEEE?!............ mliwasiiimaaaaa?!.... Mimi nimekuja hapa jamvini kuwaomba tukumbushane ''usanii'' wa wapenzi wetu enzii hiizooooooooooo...!kuna tumaneno twa kisanii...
8 Reactions
140 Replies
11K Views
Hivi kuna ubaya kwa msichana kumueleza mwanaume hisia zako.Nujutia nafsi yangu kwa kumuonyesha hisia za kweli mwanaum
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…