Asilimia 52 ya wanaume hapa nchini siyo rijali……….! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asilimia 52 ya wanaume hapa nchini siyo rijali……….!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtambuzi, Apr 20, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hivi mnajua kwamba karibu wanaume watano kati ya kumi wanakabiliwa na uhanithi wa aina fulani? Fasihi mbalimbali za tafiti kuhusu hali hii kwa wanaume zinaonyesha kwamba, zaidi ya asilimia 52 ya wanaume wa umri kati ya 40 hadi 70 wanakabiliwa na uhanithi wa aina na viwango mbalimbali. Lakini idadi ya kutosha kati ya hao ni ya wale ambao wana matatizo ya maradhi kama shinikizo la damu, maradhi ya moyo na kisukari.

  Wale ambao wana matatizo hayo na ambao wanavuta sigara wako kwenye hali mbaya zaidi na siyo ajabu kwao kuwa na uhanithi wa kudumu. Lakini hata wale ambao hawana maradhi ya aina yoyote, kuna wengi sana ambao wana matatizo haya, ingawa wenyewe wanajiona wako sawa. Uhanithi ni pamoja na na mwanaume kuimaliza haja mapema sana, kushindwa kumaliza na mengine, ambayo kwa mazoea hayaonekani kuwa ni uhanithi. Ongezeko la wauza miti shamba ya kuongeza nguvu za kiume na ukubwa wa maumbile ni ushahidi tosha wa kuthibitisha ukweli huu........... Bidhaa haiwezi kuwa sokoni kwa wingi kama haina wateja........................!
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mkibisha, wanawake humu watawaumbua.................................
   
 3. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Njoo tukuonyeshe urijali siyo unapayuka tu
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Mtambuzi na wewe una miaka mingapi? Je humo ktk hilo kundi?
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mimi afya yangu siyo mgogoro............. niko ndani ya asilimia 48 ya walionusurika...............Muulize Mama Ngina....
   
 6. kukomya

  kukomya JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 344
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Weka data evidence humu na si blah blah kama hii. Tungependa kujua utafiti huu ulifanywa lini, wapi na vipi? sehemu zilizofanyiwa utafiti zilipatikanaje, waliofanyiwa utafiti huo (Sample) walipatikanaje? Utafiti uliendeshwaje ? Ulinganifu wa matokeo na utafiti wa namna hiyo uliofanywa sehemu nyingine; na jarida lililochapisha. Hizi ni baadhi tu ya dondoo zinazoweza shawishi conclussion yako na si hiyo yako ambayo haina tofauti sana na ya wagagnga wa kienyeji.
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Naitwa baba Aron, maana hii ID ya EZAN haijakaa vizuri sana.:ranger:
   
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nimekukubali mkuu..............
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kumbe ni wengi ndio wadada wengi lazima nao watafute hao kwenye 48% ili wasaidiwe au viserengeti.
   
 10. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nisaidie kabinti kako kamoja mkuu, Cant....au....! kaje kunifanyia research....................Lol! then kakuletee majibu uyajumuishe.
   
 11. k

  kabye JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  .......................tomorrow...................i will back
   
 12. k

  kabye JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yangu inch 12' with 25mm diameter. wengi wakiipata urudi malakwamala
   
 13. k

  kabye JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ina vibrete kinoma
   
 14. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Previous I had that problem, But now am like a Bull on bed i make them cry, not a painful cry but 'on top' cry.. i enjoy it..... sijakwenda kwa mganga wala hospitali
   
 15. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  I see! Kwa hiyo wanawake wa humu wanajiuza au ni vipi? Manake sipaji jibu mwanamke anawezaje kujua urijali wa wanaume wote wa JF.

  By the way, mjomba wangu aliwahi kuniambia hata kupenda saaana kuzungumzia wanawake as if huna shughuli nyingine maishani mwako ni dalili za mwanzo za uhanithi. Kwa maelezo yako, lile suala la nyeti la kufanya na wanawake linaanza kukuendea kombo na sasa unaanza kuwazungumzia tuuu kila dakika kwa kujifariji.
   
 16. +255

  +255 JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Nitaamini ka akija mtoto wa kike aliyetembea na wanaume ka 100 hv, af ndo atupe hiyo analysis ya 52% ka kweli au la...
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Haahahaaaaaaaaa Haya rijali. Mtambuzi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. m

  makungu mbalu New Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mitishamba sokoni haiwez kuwa ushahidi tosha, wakti mwngine watu wanaingiwa na tamaa ya ngono kupita hali zao za kawaida hata kama viungo vyao vya uzaz vinatosheleza. baadhi ni kwa 7bu hawariziki na hali zao tu.........
   
 19. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na mtoa mada wanaume wengi hamuwezi wanawake.

  Ndo mana sisi wanaume tulio owa...wanawake wengi wanatudekesha, wanatuita babe ili tuwachangamkie :A S shade:
   
 20. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Kuna ambao wamekua wakali kweli kweli,vipi mna matatizo??lol
   
Loading...