Swali la uzushi, nani anatakiwa kusema asante?

no9

Senior Member
Nov 11, 2010
188
18




Ni mara nyingi najiuliza ninani anapaswa kusema asante kwa mwenziye wanapomaliza ile kazi kubwa ya wawili wapendanao mume na mke,bf na gf nk namaanisha tendo la ndoa na asante inaweza kuwa busu,asnte ya mdomo asante ........wangu au kuangua kilio.naomba majibu ya pande zote mbili.
asante na wakilisha
 
Malezi yana-matter sana, kama ni jitu jitu tu usitegemee asante, na asante inakuaga na mahali pake
 
Kwa mie naona niwajibu wangu kusema asante kwani mwenzangu namuhuru mia zaidi kuliko nafsi yangu...
 
Na kwa walioko kwenye ndoa, mbona asante itakinai sasa! Kwa bf na gf friend inaweza leta maana fulani, lakini kwa wanandoa napata kigugumizi kidogo ........
 
asante ni neno linalosimama badala ya hisia fulani,,sasa we umemchimbua mwenzako afu unataka asante?
 
Ukifikishwa sawa sawa iwe me ama ke Asante yenyewe inatoka bila break!
 
Neno ahsante linakuja automatic baada ya tendo kufanyika regardless ni mwanaume au mwanamke, hivyo hakuna fomula.
 
ni wote mnatakiwa kupeana shukrani kwani tendo haliko kwa mtu mmoja na hasa kama kila mmoja karidhia kwa mwenzake
 
Mimi ni me nafurahi kwa majibu mwenzangu anasikia raha nimbusu anapofikia mshindo na anaweza poteza fahamu kama sekunde tano na usingizi juu.mie nlijua anatakiwa anambile asante mume wangu kumbe wote wacha nianze kulifanyia kazi
 
mi huwa naona wanawake huwa wepesi kusema ahsante,haswa kama umemtoa ukame wa siku nyingi au umemfanyia utundu fulani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom