Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi jaman jana yamenikuta ya kunikuta nikanyimwa hadi 2nda la kati eti kisa wakati nimenogewa na mashamsham ya maandaliz ya kuingia mchezon si nikatia kidole kwenye 2nda lenyewe WEE!! demu...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari zenu, mimi na huyu mwanamke tuko hapa Aman-Jordan tumefika hapa mchana tukitokea dubai tulipokutania yeye akitokea Dar alinikuta Dubai kwa vile yeye aliniambia nitangulie ili nimtafutie...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
  • Closed
Kwenye sentensi nyingine, Ray ameamplfy kwamba “kwa hiyo anataka kuwadhihirishia watanzania kwamba Ray ndio anahusika na hicho kifo, baada ya hilo nimeshirikiana na polisi na kushitaki na...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Naitwa Sylvatory 27 nipo moro natafuta ajuae kupenda anaeheshimu hisia niko ready kumpa muda wowote akitaka alie serious anicheck 0714455551 sina vigezo zaidi ya penzi la dhati
0 Reactions
5 Replies
2K Views
alikuwa demu wangu, akanitosa, akaenda kwa sharobaro..akatendwa akarudi kajaa..analia..nikamsaidia akaiachia..akawa huru tena...ikapita miezi miwili..nikiwa namsaidia matumizi..akapata nwingine...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Ni mara nyingi najiuliza ninani anapaswa kusema asante kwa mwenziye wanapomaliza ile kazi kubwa ya wawili wapendanao mume na mke,bf na gf nk namaanisha tendo la ndoa na asante inaweza kuwa...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Nimatumaini yangu hamjambo wote humu ndani na naheshimu sana busara zenu,mimi nimeoa na nina watoto 2, ndoa yangu imeingia doa na iko mashakani kuvunjika, kuna mwanaume nilikuta ujumbe wake kwenye...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Thread closed,
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Hello JF? Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo:- JINSIA : MWANAMKE (asiye kwenye ndoa) UMRI: >= Miaka 18 ELIMU: Kuanzia Sekondari hadi Chuo Kikuu KAZI: Awe ni Mfanyakazi au...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hivi mnajua kwamba karibu wanaume watano kati ya kumi wanakabiliwa na uhanithi wa aina fulani? Fasihi mbalimbali za tafiti kuhusu hali hii kwa wanaume zinaonyesha kwamba, zaidi ya asilimia 52 ya...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
In which of the following professions are we likely to find MEN AND WOMEN WHO FLIRTS? The Banking profession, The Force (Police, Soldiers), The Media, Lawyers, Teachers/Lecturers, Health experts...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
................................................................siwezi kuelezea sasa hivi ninavyokupenda Tanzania, maana hili sakata la mawaziri ni tamu mno!!! Halafu eti wao wanajifanya hawajui???
0 Reactions
9 Replies
1K Views
you can say the right thing abt a product n nobody will listen. You av got to say it in such a way that people will feel it in their gut. Because if they dont feel it, nothing will happen.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa Hapa chuoni hasa chuo Kikuu na Vingine Tanzania kila mtu ameondoka kwao akapate Elimu pale.Kwa Hapa Chuoni kwetu First Year ambao ndo wanasemester moja,hasa wadada wa udsm na campas zake wana...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Baba mmoja amekutwa guesthouse akiwa na mtoto wa kaka yake aliemchukua kijijini ili amsomeshe akaamua kujilipa kwa kupata ngono kwa huyo mtoto mbaya zaidi kaingia nae humo na uniform kabisa na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wataalamu naombeni mnijuze! Eti nikiwa(mimi ni mwanaume) napishana na mpenzi wangu miaka kumi ni mbaya?
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Jamani nimekuwa nikijiuliza mambo mengi juu ya wanandoa wengi kukosa uaminifu kwa wenza wao siku hizi, swala la msingi ninalojiuliza ni nini chanzo? wengi mtaniambia ni kupata ladha tofauti, oh wa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana jf, yaani hapa najipongeza maana nilitaka kufanya kitu ambacho pengne ningejutia in life. Kuna gal tunakaa nae nyumba 1 ya kupanga(huku nilipo kwa aunt) xa nilimtokea n akakubali yeye...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Salaam wakuu, Hii ndoa ina miaka 7,watoto 3. Tatizo la kibinadamu-kama walivyo baadhi ya binadamu wengine,bwana akapata mpenzi,akazaa nae. Akawa akijitahidi kutimiza mapenzi sehemu zote 2 na...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Hivi ni kwa nini ktk mahusiano mengi,kwa mfano kwenye ndoa wanaume / wanawake walio wengi hawawezi kuwaambia wake zao kuwa hawawaridhishi matokeo yake wanatoka na kwenda kutafuta mahawara nje,je...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom