Maskini Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Kwenye sentensi nyingine, Ray ameamplfy kwamba “kwa hiyo anataka kuwadhihirishia watanzania kwamba Ray ndio anahusika na hicho kifo, baada ya hilo nimeshirikiana na polisi na kushitaki na kufungua kesi ambapo hivi sasa ninapozungumza yupo polisi Osterbay akihojiwa kwa sababu ameandika kitu ambacho bado kipo ndani ya uchunguzi, hana uhakika nacho sijui Luli amekamatwa Coco Beach which is not true, sijui hizi habari kaipata wapi”

Naona alirusha kitu huku akitegemea sapoti toka kwa Mwamvita Makamba ambae ni shosti wake.
Sasa yamemkuta mke wa mzungu dharau na kebehi zake sasa atakiona cha mtema kuni, na Ray akipigwa nyundo huyu mwanamke atakuwa anahusika moja kwa moja. Tunasubiri kesi kwa hamu.

Ukienda kwenye website yake sasa hivi inasomeka hivi
http://www.u-turn.co.tz/
[h=1]Forbidden[/h] You don't have permission to access /index.php on this server.
Additionally, a 404 Not Found error was encountered while trying to use an ErrorDocument to handle the request.

Apache Server at www.u-turn.co.tz Port 80
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom