Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaunga duh dongo hilo
Ina maana wanaume siku hizi wameisha wamabaki wa kiume tuu
Ila wapo wanaume ambao wanajua nini maana ya ndoa na kukaa pamoja
Hiki ni kile kipindi amabapo msemo huu ulikuwa kweli "Mpaka kifo kitakapo tutenganisha"
Na wanawake walikuwa hawajui kuchakachua...Ni kipindi ambacho wanaume walikuwa wanaume si wa kiume!
mkuu, fuatilia takwimu (statistics) na sio za Tz tu bali dinia nzima kujua matatizo makubwa katika mahusiano yameanza kipindi gani. Hii kitu 'in 90s' nimeifuatilia sana kabla ya kuileta hapa jamvini sio kuwa nimekurupuka kama unavyoweza kudhani.Mkuu:-
2012 - 1990 = 22;
Kwahio there is no way mapenzi hayo watu wakafikia 65 years kwenye ndoa, labda ungesema mapenzi ya mwaka 47