Ni mwanamke yupi ambaye ni sahihi kuwa naye katika mahusiano?

Mbilimbili

Senior Member
Mar 17, 2012
172
19
Habari za hapa ndani wadau, katika kuchagua mchumba je ni yupi kati ya wanaofanya kazi hizi ukioa hakutakuwa na shida?
1:Bar maid
2:Mwalimu
3:Msusi
4:Secretary
5:Fundi wa kushona
NB: NAMBA TATU NDIO TUKO KWENYE MAHUSIANO KWA SASA.
 
Oa barmaid,uwa hawana shida hawa.Kikubwa zaidi ni watamu sana.
 
Oa ule moyo inapenda zaidi, ukimwona tu unapata mlipuko wa aina yake....
 
Mwanamke yyte yule kat yao atakae tambua nafasi yake kwako na yako kwake.
 
Habari za hapa ndani wadau, katika kuchagua mchumba je ni yupi kati ya wanaofanya kazi hizi ukioa hakutakuwa na shida?
1:Bar maid
2:Mwalimu
3:Msusi
4:Secretary
5:Fundi wa kushona
NB: NAMBA TATU NDIO TUKO KWENYE MAHUSIANO KWA SASA.

Sijakuelewa vizuri lakini nadhani kwa haraka haraka tu unamaanisha shida ya kupigiwa na mafisi/mijibaba ya town si ndiyo? Basi kama ni hivyo ngoja nikupashe:
Ki wastani, hao wote uliowataja hapo juu (kikazi) asilimia kubwa yao wanasifika kwa ugawaji wa uroda ila isikukatishe tamaa kwani kugawa uroda ni hurka ya mtu na sio kuwa kila mshonaji ama msuka nywele ni mgawaji , lahasha. Sababu kubwa ya hawa kina mama kugawa nje inatokana na matatizo yao nyumbani na waume zao. Kwa hiyo usitegemee kumnyanyasa mwenzio nyumbani kuona ndiyo unamdhibiti kumbe unamjengea njia ya kutafuta suluhisho ama furaha nje ya nyumba yako. Kwa kifupi, muheshimu na kumpa uhuru kama kweli unampenda na yeye akili itamcheza tu kwa kukurudishia mema zaidi ya hayo. Ni hayo tu.
 
Kama sifa zingine zikiwa constant, go for mwalimu. Ni wavumilivu sana na huwa walezi wazuri wa watoto.
 
Mara nyingi vionekanavyo vidhaifu ndo huwa vina nguvu kubwa. Chagua aliyemnyonge atakufaa sana.
 
Back
Top Bottom