nini maana ya hili?nipo njia panda. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nini maana ya hili?nipo njia panda.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bi nzuri, May 2, 2012.

 1. b

  bi nzuri New Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman nawasalim kwanz habar z nyie ! nahtaji msaada wen ju y hili nna miak 25 nnampenz wangu lakn anampenz mwngne nje y mkoa nilijua hli baada ya kumchunguza sana nilpomuulz alinihakkshia n kwel na had sasa huyo bint naye amenigundua na amekuw akinitmia mesg z matuc bila kumjibu chakushangaza huyu mpenz wang nikimuulza anadai anatupenda sote hawez kuacha waswas wang ni kujakuachw kweny mataa imefkia wakat nataman kumuacha lakn nampenda pia nafkria je huyo nitakayekutana naye mwngne naye atakuwaje?hapohapo
   
 2. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  bi nzuri pole...umevua gamba? Uandishi wako...mmmh
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  bi nzuri mbona unajidhalilisha bana?
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Kifupi ni kwamba wewe hupendwi wala usijipe moyo kwa kusubiri huruma ya mola mdada,ukweli ni kwamba usisubiri kuachwa jitoe mapema maana kama angekuwa ana kupenda asingekuwa na mwingine! piga moyo konde na huanze upya maisha,utapata atakaye kupenda kweli.Hakuna mtu aye weza kuwapenda watu wawili kwa usawa,ni kwamba anashindwa kukwambia ukweli kuwa hakupendi!
  IELEWE MITAA
   
 5. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Join Date : 2nd May 2012
  Posts : 2
  Rep Power : 0

  Likes Received
  Likes Given 0

  KWANZA KARIBU HUMU JF.
   
 6. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Join Date : 2nd May 2012
  Posts : 2
  Rep Power : 0

  Likes Received
  Likes Given 0

  BI NZURI
  KWANZA KARIBU HUMU JF.
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Ondoa jam hapo bi nzuri.
   
 8. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  changanya na zako..
   
 9. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  huu mfumo gan wa kuchangia wa kukopi join date ya m2? Hivi kuwa mkubwa ndo akili nyingi? BACK TO THE TOPIC: angalia unapenda kipi, ndoa ya m2 mmoja au ya wengi
   
 10. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Usichanganye na za mbayuwayu
  Tumia zako
  OTIS
   
Loading...