Natafuta Mchumba/Mume. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Mchumba/Mume.

Discussion in 'Love Connect' started by Pamela MS, Apr 3, 2012.

 1. P

  Pamela MS Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wakuu,

  Mie ni mdada natafuta Mwanaume mwenye sifa hizo hapo chin km tukiafikiana tufunge ndoa,

  sifa zake;
  Aliye single,Mkristu,umri miaka 32-40,mwenye kazi ya kueleweka au biashara,Elimu Diploma na kuendelea,mwenye mtoto mmoja anakubalika,asiyevuta sigara,


  Sifa zangu;Niko single,sijawahi kuolewa,sina mtoto,elimu ya shahada ya kwanza,umri wangu 30yrs,nimeajiriwa nafanya kazi.

  Kwa maelezo zaidi kuhusu mimi kwa atakayekua interested ani PM au pamelamassawe@gmail.com

  Tafadhali km unaona haikuhusu usinidhihaki ww pita bila kuandika chochote.

  hili sio la mzaha so naomba msilichukulie kimzaha.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  Si nilisema Pamela atampiga kibuti Siyoi..
  mnaona sasa?
   
 3. Shabhan

  Shabhan JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamela kwa mimi mwenye watoto watatu na talaka mbili naruhusiwa kuku pm?
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,240
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Haahaaahaa boss dada yupo siriaz acha masihara!
   
 5. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  pamela, pale sinza unakaa maeneo gani? nakutakia mafanikio mema upate mume mwema mwenye hofu na Mungu.
   
 6. P

  Pamela MS Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu mimi sio pamela wa Siyoi
   
 7. P

  Pamela MS Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapana.
   
 8. P

  Pamela MS Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana,ila mimi sikai sinza labda huyo ni Pamela mwingine.
   
 9. M

  Mundu JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Utafanikiwa tu Pamela...kila jambo linataka hatua ya kwanza...nawe umepiga hatua tayari.
   
 10. P

  Pamela MS Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante Mkuu.
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Waaaoo vigezo na mashariti kuzingatiwa ka vp nchek on my email.
   
 12. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,990
  Likes Received: 3,739
  Trophy Points: 280
  mume bora hapatikani kwa hivi vigezo vya kidunia, bali hutoka kwa MUNGU.

  sugua goti, my daughter.
   
 13. P

  Pamela MS Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana Mzazi wangu,
  Kusugua goti ndiko kutakako nifanya niwezesha kumtambua mwenye vigezo hivi halisi kwani walivonavyo ni wengi pia.
   
 14. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  mi nilipoona masawe tu nikabadili wazo. Najua tutashindana kwenye masuala ya hela. Nakutakia safari njema.
   
 15. Shabhan

  Shabhan JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Pamela acha roho mbaya! Nina vigezo vote hivo watoto ndio
  wakutishe kiasi hicho, hupendi watoto?
   
 16. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  jamani pamoja na kusugua goti, inahitaji juhudi binafsi ; la tungekuwa kama wanyama tu kila kitu tumuachie Mungu.

  All the best Pamela; utapata watu serious pia. Usingoje kufuatwa, kuna post nyingi tu humu za wakaka wanaotafuta wake, so jilipue kwa kuanza kuwaPM wewe.
   
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yametimia lol.
   
 18. P

  Pamela MS Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kunipa moyo na uelewa wako Dada,Ni kweli maombi yanaendana na juhudi binafsi,ndio kama hivi nimeamua kujilipua japo sio jambo rahisi hasa kwa jinsia zetu.
   
 19. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Pamela Masawe mmmh hapa lazima love+money= ndoa
   
 20. P

  Pamela MS Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio roho mbaya na wala tatizo sio watoto,nahofia hizo talaka zako kwani kwenye ukristu hatuna hayo mambo ya talaka pia inakuwaje uwe na talaka mbili,kwani una matatizo gani yaliyowashinda hao wawili???
   
Loading...