nilistahili malipo haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nilistahili malipo haya?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dogo1, May 1, 2012.

 1. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,076
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  nilikua na girlfriend ambaye wakati wowote ambao yeye alinihitaji kwa ajili ya sex alikuwa anasafiri kutoka mkoa anaoishi kunifuata nilipo na kupeana malavi davi. Aidha mm nikimuhitaji alikua ananifuata popote nilipo hata nje ya mkoa ninaoishi. Safari zote alitumia fweza yake.

  Ilifika mda nikwambia mahusiano yetu kingono nataka tuyasahau tubaki marafiki tu wa kawaida kwa sababu ambazo nilimueleza.

  Hakukubaliana na hoja yangu na yeye akataka lazima tuendeleze mchezo wa ngono. Nikwambia msimamo wangu hautabadilika. Akanijibu siwezi kumwacha kirahisi namna hiyo!

  Wandugu nilika kama juma moja tu kilichofuata nikajikuta siwezi kusimamisha mlingoti kama ilivyokuwa kawaida yangu! Hata uwezo wangu wa kufunga magoli ukawa umepungua kwa hali ya kutisha. Nikiwa na huyu mdada nilikuwa na ubavu wa kutumbukia kimiani magoli si chini ya matatu ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza! Yeye mwenyewe alikuwa anazimika kwa muda anapofika cloud 9!

  Tokea yamenikuta haya, hata simu yangu hapokeai!
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 69,492
  Likes Received: 3,081
  Trophy Points: 280
  bora sasa uchukue likizo.......nilifikiri ulimwomba mapumziko sasa yamekuja yale ya kiujumla kabisa.pumzika mwaya LOL
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,581
  Likes Received: 742
  Trophy Points: 280
  Duh; dogo pole sana!
  Kweli hukustahili malipo haya, Rutashubanyuma njoo umcouncil dogo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,581
  Likes Received: 742
  Trophy Points: 280
  So u r already here!
  Sasa sijui dogo afanyaje kurudisha hali yake ya kawaida! By the way dogo, kama hutajali why did u dump her?
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 69,492
  Likes Received: 3,081
  Trophy Points: 280
  dogo hahitaji counselling anachohitaji ni mapumziko ya milele./[MENTION]Kaunga, Dogo1[/MENTION]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,581
  Likes Received: 742
  Trophy Points: 280
  Very cruel, na wewe ukizawadiwa hiyo kitu na X wako; utamaliza sangoma wote na wachungaji wote!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,076
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  ni binti mwenye sifa zote unazozijua, tulishinwana kwenye imani za dini. Nilimshauri tufunge ndoa ili tule tundi kwa nafac na kwa halali, bt hatukuafikiana ktk hilo
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  aisee unahitaji maombi bibie ashakuvuruga...na huyo mwanamke nae ana pepo la ngono ndio nini kupenda ngono namna hiyo
   
 9. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,511
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hataki mapumziko ya milele huyo, ila sema alikipata cha karibu ndo mana....pole
   
 10. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,076
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  anapenda ngono balaaaaa kama ninavyopenda mm waungwana! Nilikuwa namsugua kweli kweli. Kabla haya hayajotea hakusita kuniambia kuwa ameruka sana na washkaji but walikuwa wanampotezea mda,, alikuwa hajuwi kuwa kuna kitu inaitwa climax!
   
 11. M

  Mama Ashrat Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwambie uko tayari kurudi kazini!!
   
 12. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama msha do nae kustop kunasaidia nini??mshatenda dhambi,endeleeni tu..kwa maana hapo mnaidanganya nafsi yenu.Ila c mungu.
   
 13. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,076
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  kutenda kosa si kosa, kurudia kosa
   
 14. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,029
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Mi nilifikiri umemuacha kwa sababu hutaki tena kufanya uzinzi,kumbe bado unaendelea lol! Pole dogo
   
 15. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,511
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  ud tu ili akurudishie uzima wako
   
 16. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
   
 17. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,076
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
   
 18. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,735
  Likes Received: 896
  Trophy Points: 280
  pole dogo1
   
 19. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,581
  Likes Received: 742
  Trophy Points: 280
   
 20. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,076
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
   
Loading...