nini maana ya hili?nipo njia panda.

bi nzuri

New Member
May 2, 2012
2
0
jaman nawasalim kwanz habar z nyie ! nahtaji msaada wen ju y hili nna miak 25 nnampenz wangu lakn anampenz mwngne nje y mkoa nilijua hli baada ya kumchunguza sana nilpomuulz alinihakkshia n kwel na had sasa huyo bint naye amenigundua na amekuw akinitmia mesg z matuc bila kumjibu chakushangaza huyu mpenz wang nikimuulza anadai anatupenda sote hawez kuacha waswas wang ni kujakuachw kweny mataa imefkia wakat nataman kumuacha lakn nampenda pia nafkria je huyo nitakayekutana naye mwngne naye atakuwaje?hapohapo
 
We' hujielewi wala hujiamini, mtu anamoyo mmoja anawezaje kupenda watu wawili, temana nae angalia mbele, unajidhalilisha sana kwa kumng'ang'ania mtu ambae unajua tayari anamtumwengine(cheating).. Unamfanya ajione so special.. Jikaze mwambie ukweli kuwa hupo tayari kuwa ktk mahusiano ya mtindo huo! Nakuonea huruma sana, pole sana.
 
aibu...si wee naona umekubaliana na hali ya kuwa unashare mwanaume na mwanamke mwenzio...hamna noma pata chako na enjoy.
 
Unampenda ndio, ila muache, songa mbele na open your heart for another, jitahidi umsahau...................by d way, jibu kamili unalo mwenyewe kama unaweza endelea ama ujiweke pembeni:A S-key:
 
kiswahili kibovu .andika vizuri.


uyo dada hana mpango na wewe.
au km unasubiria virusi poa wait..
 
Kama alikuwa na mpenzi huyo kabla yako, wewe ni mvamizi.
Kama alikuwa na mpenzi huyo baada yako, huyo m'me kicheche.
Iwavyo vyotevyote, uamuzi ni wako, ama mubanane hapo hapo au unune mwenzako ale.
 
....sijaelewa mada yako mpenzi bi nzuri
na pia uandishi wako haujasimama...kwa mfano z〓za
y〓ya
 
Last edited by a moderator:
labda anataka kuwaoa wote wawili,si unajua mtu anaweza kuwa na wake mpaka wanne ni kama moyo wako umeamua kumpenda
 
Achana nae mbona vidume 2po weng km vp temana nae ili ukale bata kwa kujinafas na m2 anaekupenda kwa dhati. Mbon unaupa moyo wako tabu hvyo mtoto wa kike....
 
Kweni mwanamme mmoja mpaka mpangwe kama samaki, wewe hamuoni kama mnafaidisha huyo kaka zaidi kuliko nafsi zenu. Mean are purely selfish if you know what I mean, he will have you and 10 more like you for his own interest sio kama anawapenda au ana wajali zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom