Jana rafiki yangu kipenzi kaniuliza..'hivi wewe Bishanga wanawake wanavyokupapatikia unadhani ni kwa vile we ni handsome?' Nilitafakari na baada ya kufika nyumbani nilisalula kila kitu nikabaki...
Wanajamii nisaidieni mawazo yenu...ctaki kusimulia yaliyopita ila ni kwamba nilikuwa naongea na ninaeamini ni mpenzi wangu lakini ghafla kanambia kata cm mama anapiga tokea saa nne bt kila nikipga...
Hii ni situation ya kweli hapa nchini, hv ni haki kwel kwa mwanachuo wa kike kulazimishwa kungonoka na lecturer ndo apewe coursework acpofanya hivo anasapushwa ikiwezekana na kukeri kabisa hilo...
Ni aibu na ujinga,Msichana anatembelewa na boyfnd wake,nyumbani kwa wazazi wake.Then wanafanya mapenzi nyumbani kwa msichana(yaan nyumba ya wazazi wa msichana).Kwa nini asikupeleke kwao,kama...
Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF...
Heshima kwenu brothers and sisters,
Why ladies mnapata shida sana kuishi single without relation kwa muda mrefu? I have a workmate and friend of mine ambaye inshort ni mzuri, but huyu sister...
Sio kila jambo ni la kushea,binadamu tuna marafiki,wazazi na ndugu,wote hawa kila kukicha tunasema tunawapenda lakini linapokuja suala la mapenzi hapo tunataka tuwe wenyewe tu. Japokua zipo imani...
Wana JF
Naomba tushauriane suala hili.muda huu niandikapo natoka kucheza muziki na shoga.kwa mbali naambiwa alikuwa tanga.alikimbia kule kwa kudhurumu.yeye ni mrefu,mwembamba...
Things have changed complitely.
A real man had to straggle to bare the family, to care and to prepare a better future for his family.
Currently this things have changed and in some instance are...
Niko hapa maeneo ya Mlimani City na mfanyakazi mwenzangu ambaye bado hajaoa Tumesimama mahali ambapo kila anayeingia na kutoka hapa Mlimani City tunamuona.................. Kuna mabinti wengi...
Ni true case. Binti ni shemeji yangu na mwanaume ni rafiki yangu. Binti aliambukizwa HIV kutoka kwa mama yake wakati wa kuzaliwa, na aliniambia mwenyewe. Kupitia kwangu rafik yangu alimfaham huyu...
Ulikuwa kama mchezo mnakusanyika watoto wa kike na kiume na mnaanza kuimba, akianza mwanamke anamachagua mwanaume na akianza mwanaume anamchagua mwanamke, wengine tulikuwa tunautumia kwa...
wanaume huwa wana usiri sana pale ambapo rafiki ake anakuwa ana mademu more than one, hata iwe rafiki ake awe amekwenda kumsindikiza binti mwingine, utasikia rafiki ake akisema oooh shemu karibu...
Jamani hapa tunaongea kama wazazi
Je ni halali mama kupiga dabali watoto mgongoni?
Akipiga hivi dabali haiathiri malezi na makuzi ya watoto?
Yaani hapa nazungumzia umemwacha mkeo nyumbani akaja...
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo;
1. Awe mkristu mwenye hofu ya MUNGU.
2. Umri usiozidi miaka 25.
3. Mweupe, mwenye umbo la wastani (average), mrefu wastani
4. Elimu kuanzia form 6 na...
Kwa wamama na wadada ambao ni above 18 mpaka 60...
ambao wana interest na male company for fun na weekend gateways..
pm please....
napenda kusafiri around east africa na starehe zaidi...no...