Acheni tabia hii.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Acheni tabia hii..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by DERICK2000, Apr 25, 2012.

 1. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni aibu na ujinga,Msichana anatembelewa na boyfnd wake,nyumbani kwa wazazi wake.Then wanafanya mapenzi nyumbani kwa msichana(yaan nyumba ya wazazi wa msichana).Kwa nini asikupeleke kwao,kama anaweza????..It's so ashamed.Na wasichana kataeni kuwaita ita boyfnd zenu,pindi wazaz wenu wakisafiri..Mnajiaibisha sana na kujishusha thamani yenu.. Hata kama ndio pesa hana,mwambie muende kwao,kama atakubali..Mbona yeye anaheshimu nyumba ya wazazi wake?..Nimeipata hii kwa jiran yangu hapa,ye wazazi wake wakisafiri tu,boy wake anahamia hapo..Ni aibu kwa kweli..
   
 2. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Acha wivu, wanalinda nyumba hao!
   
 3. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Bado watoto wakikua wataacha cause watakua na kwao..
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Subiri upate mtoto wa kike halafu aje agongewe nyumbani kwako wakati wewe haupo halafu uje uambiwe tuone kama utachekelea ujinga huu.
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mmmmmmh!!! Ujana au jinsia yako inakufanya ushabikie mambo kama haya lakini kiukweli siyo vizuri hata kidogo kwa watoto wa kike kuwaleta maboyfriend zao nyumbani kwao na kujikuta wakifanya upuuzi.
   
 6. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siwezi kuona wivu kwa mambo ya kijinga kama haya method.Places are many.but nyumba ya mzazi wako??.Mi naona hata huyo jamaa anaekwenda hapo kwao anamuona msichana ni mjinga.Ni kuishiwa gani huko?.
   
 7. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siyo watoto purple,ni watu wazima,wenye bachelor degree,na zaidi ya 25 years old.Hao watoto?.Labda useme wana akili za kitoto.
   
 8. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbaya zaidi ukute kwao yeye mvulana hata kwenda kumsalimia tu hajawahi na hamruhusu.
   
 9. paty

  paty JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  umeleta humu badala ya kuwaambia wahusika
   
 10. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana wapo wa tabia hiyo humu,waache.Respect your parent's house.
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Naona umekua sasa!

   
 12. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao wamekubuhu duh!na hizo bachelor zao,nawasi wasi nazo!.
   
 13. k

  kagine New Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dunia inafika mwisho, ila kwa kuonyana na kukumbushana, twaweza fika mbali, nakubali hilo ni tatizo na linahitaji kukemewa kwa nguvu zote
   
 14. J

  JOJEETA Senior Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah kiukweli cio ustaarabu hata kidogo.hivi mwanaume wa hivyo atakuheshimu kweli?anaweza akawaza pia cku akikuoa yeye akasafiri je hautamwingiza mwanaume mwengine ikiwa kwa wazazi wako hupaheshimu?ifike wakati mabinti ze2 wenye tabia hiyo waache ili wa2jengee heshima wazazi wao.
   
 15. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Kwani tatizo ni nini hapo wa kiume akienda na demu kwao nia sawa ila wa kike akipigiwa nyumbani
  ni shida "gender equlity itatokea wapi kama hivi ndivyo tunatakiwa kujaji mambo?"
   
 16. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  wamesoma chuo kimoja na rais wangu! loooong live our presidar!
   
 17. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  u should judge kama mtu mstaarabu.Hamuwezi kufanya nyumba za wazazi wenu uhuni wenu.Kama unaishi mwenyewe sawa,hata kwa msichana..lakini siyo nyumba za wazazi wenu..
   
 18. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Atakuheshimu wapi?????kama mzazi wake alie mlea mpaka hapo alipofikia hamuheshimu kwa kuleta boyfriend nyumbani na kumruhusu alale?.Kutembeleana siyo mbaya..lakini kulala hapo hapo..mmh.its amaizing.
   
 19. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Tena bachelor za maana.Ukute na vyeti ni A+..But descent life F+.
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hiyo imetokea wapi??
  Ukosefu wa adabu huo
   
Loading...