My friend anakanyaga waya usiku wa leo. Nimsaidieje?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Ni true case. Binti ni shemeji yangu na mwanaume ni rafiki yangu. Binti aliambukizwa HIV kutoka kwa mama yake wakati wa kuzaliwa, na aliniambia mwenyewe. Kupitia kwangu rafik yangu alimfaham huyu bint, na alipokuja niambia, alikuwa ameshamlala mara 2, mara zote akitumia condom kutokana shinikizo la bint.

Jamaa anataka apige kav kwa sababu anasema siku ya kwanza alimkuta bikra so anamwamini. Kanitumia msg muda si mrefu kuwa leo kafanikiwa kumlewesha binti Amarula (bint alikuwa hanywi kileo!)

Bint yupo hoi kwa ulevi na jamaa ameamua kutumia hiyo chance kumuingilia bila condom. Aliponitumia msg nilikuwa tait sana sikuweza kuisoma, nilipokuja kuisoma nimempigia nakuta keshazima simu.

Roho inaniuma sana kwa nini sikumwambia jamaa before, ingawa siku bint alivyonihadithia kuwa ni muathirika aliniomba sana nisimwambie mtu. nifanyeje?
 
Hadithi za Alinacha, kwani huyo binti ana miaka 3? Usitake kutuletea habaria ya binti mwenye umri wa miaka 25 afu eti alizaliwa na UKIMWI.

Waambie hao hao....
 
Kwa nini hakwenda kupiima kabla ya kuanza kufanya mapenzi na huyo binti? Inawezekana akawa alishaambukizwa tangu siku ya kwanza kwa kuwa condom haizuii maambukizi kwa asilimia mia moja!
 
shigongo anatafuta watu kama wewe.......:rolleyez::rolleyez::rolleyez:
 
Ni true case. Binti ni shemeji yangu na mwanaume ni rafiki yangu. Binti aliambukizwa HIV kutoka kwa mama yake wakati wa kuzaliwa, na aliniambia mwenyewe. Kupitia kwangu rafik yangu alimfaham huyu bint, na alipokuja niambia, alikuwa ameshamlala mara 2, mara zote akitumia condom kutokana shinikizo la bint. Jamaa anataka apige kav kwa sababu anasema siku ya kwanza alimkuta bikra so anamwamini. Kanitumia msg muda si mrefu kuwa leo kafanikiwa kumlewesha binti Amarula (bint alikuwa hanywi kileo!), bint yupo hoi kwa ulevi na jamaa ameamua kutumia hiyo chance kumuingilia bila condom. Aliponitumia msg nilikuwa tait sana sikuweza kuisoma, nilipokuja kuisoma nimempigia nakuta keshazima simu. Roho inaniuma sana kwa nini sikumwambia jamaa before, ingawa siku bint alivyonihadithia kuwa ni muathirika aliniomba sana nisimwambie mtu. nifanyeje?

We Tuko ........kumlalala ndio kufanyeje? mbona sexual act mnaigendertise wajameni???

Second kwa kuwa nameamua kujilipua (kumwingilia kinyume cha makubaliano huyo rafikio ana makosa na ni mtovu wa nidhamu. Mkataze kwa kumwelewesha thamani kwa mapenzi kati yao wawili. Mwulize huyo mpenzi wake atajisikiaje iwapo ataelewa kuwa alimlewesha na kumwingilia kinguvu? Je hayo ndo mapenzi ya kweli??
 
huyo jamaa yako ashapima??? inawezekana wanaenda kubadilishana virus, anyway so sad info, tunazidi kuongeza folen mahospitalini.
 
wapendwa tusilaumiane hapa. We all make stupid mistakes, indeed very very stupid

aende hospitalini akapime kwanza if negative aeleze kisa chote kwa daktari. Then atumie ARV full dose at least 3 classes of drugs kwa mwezi mzima. But a doctor will advice more and better the options availale.

Kumbuka this is not a standard practise and neither this behaviour is tolerated or acceptable but I'll be the last one to point a finger kwa huyu bwana

The drugs works better at least within 72 hrs and the earlier the better. Note that there is no guarantee that it'll work but there's a statistical significance chance that zitamsaidia

This is all I can can and am not sure kama best medical practise inaruhusu hii but try mkuu
 
Usiseme kitu Usichojua, had a friend who died at 23 and he got since death!....

QUOTE=Gurta;3743351]Hadithi za Alinacha, kwani huyo binti ana miaka 3? Usitake kutuletea habaria ya binti mwenye umri wa miaka 25 afu eti alizaliwa na UKIMWI.

Waambie hao hao....[/QUOTE]
 
We mwache tu bana!!!!!aone utam coz ukimwi siku hizi sio tishio kiviiiiiiiiile!!ARV bureeeeeeeeeeee!!!!
 
Akiikanyaga kwa tamaa yake poa kwani kuna aliyemlazimisha kuwa kiwembe? Kama ni stori ya kutunga basi jamaa hatakanyaga miwaya ila mtunzi atakuwa anajichulia tu.
 
Back
Top Bottom