Why ladies mnapata shida sana kuishi single without relation?

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,856
6,215
Heshima kwenu brothers and sisters,

Why ladies mnapata shida sana kuishi single without relation kwa muda mrefu? I have a workmate and friend of mine ambaye inshort ni mzuri, but huyu sister ananishangaza sana as kuishi bila relation kunamchanganya sana while she is just 27, yaani kuwa lonely kunamnyima raha kiasi hata sometime unakuta analia on her table ukimuuliza hana majibu ya kutosha, hivi hii inakuaje as she has everything tunazo wish kuwa nazo, as good first job with a nice salary to her, nice car, and so on.

But kuwait for a right person kunamchanganya sana na hasa her friends wanavyoolewa daily, nimeisema hii has imenigusa sana j mos tulikuwa kwenye harus ya friend ghafla akaanza kutoa machoz na kutaka kuondoka bila sabab za msingi hadi mama mmoja akamtoa nje kumliwaza, hii inakuaje wadada mnisaidie, mbona guys wengi tu naowajua hawapo kwenye relations but wana furaha and they have fun a lot but ladies inakuaje?
 
Ukiwa na mwanaume ndo unakuwa na furaha
mwanaume ni ezyme/catalyst /hormone ya furaha?
If yes toa vivid example
otherwise huu ni upuuzi mtupu kwangu
furaha ya mtu ni mtu mwenyewe
wangapi wapo kwenye mahusiano ila wapo kama kuzimu?
Kwa heri
umeniondolea na furaha yangu bila sababu
 
usijumlishe et ladies wote kuish singo kunawanyima raha.
ni huyo unayemjua na matatizo yake si wote cz kuna wengne wameamua kuish singo na wana enjoy...SI WANAWAKE WOTE WANAPENDA KUWA IN RELATION...
mbona kuna wanaume weng kuish singo kuna wachangaya sana?utayaona ona tu km madume ya nyan bas ujue mhh hana demu huyu...anakuwa na character flan ivi thats shows yupo lonenly...kachanganyikiwa kiu pweke....

huyo ana matatizo..anazan kutokuwa na mpz bas aujakamilika...uenda anapenda kudeka so hana mtu wa kumdekea ...uenda ni wale watu wanaopenda bilateral kwa mnooooo....uenda ajiamin km kakamilika bila mwanadamu mwngne kwa pemben.....mwache :A S-cry:akikua ataacha
 
Kwasababu wadada wanataka relationship sio kupita huku na huku kama wakaka wafanyavyo!

Ngono kwa mdada inahusu emotions, na si physical need peke yake!

umemjibu vyema....wanazan sisi km wao ...madume ya bata kila kona yanapanda so kuwa in relation ni usumbufu..sisi twataka staha so kuwa na mmoja ni crucial
 
Ukiwa na mwanaume ndo unakuwa na furaha
mwanaume ni ezyme/catalyst /hormone ya furaha?
If yes toa vivid example
otherwise huu ni upuuzi mtupu kwangu
furaha ya mtu ni mtu mwenyewe
wangapi wapo kwenye mahusiano ila wapo kama kuzimu?
Kwa heri
umeniondolea na furaha yangu bila sababu

mpashe apashike uyooooooooooooooooo....yaan anahisi mwanamke hawez kuwa na furaha bila mwanaume....imagine una lijitu alikujali..linakupga....ukiweka ela linaiba...linakusema vbaya....lileeeeeeeevvvv....karaha from break to accelerator then tel me utapenda kuwa na mwanamme?

wa kutengeneza furaha ni wew si from janaume....kaka tune upya mind yako
 
naunga mkono hoja huku ktaa kunademu daily ya na kpnd cha CHEREKO af anaropoka et saiv nataka bwana n i blv maneno ya tchr wangu alsema manz akfka 25 hajapata mchumba anakuwa ka kavurugwa hv... IT CAN RL

izo tafit za kumuona demu mmoja ivi..demu mmmoja vile then unaconclude wanawake wote wapo ivo mmhh mtakuja kuvurugwa peupe:glasses-nerdy:
 
Huyo mdada anatamani sana kuolewa na ameiweka sana akilini mwake ndio maana unamwona katika hali hiyo...ila hicho sio kipimo cha kuthibitisha kuwa wadada hatuwezi kukaa single .
 
Hebu give us a break!kwa hiyo dada mmoja akiwa na psychological problems na mastress yake ndo unageneralize kwa wote??this is too low..
Note:being in a relationship doesn't always mean happy and being single doesn't always mean lonely!
 
guuud gudder,gudest....
 
Wakati mwingine uzuri kupita kiasi unaponza maana wanaume wanadhani atakuwa expensive hivyo wanaogopa kumu-approach. Kama uko karibu nae jaribu kumuuliza, labda unaweza kumsaidia kwa namna moja au nyingine. Pia inawezekana alikuwa na Boyfriend ambaye waliachana katika mazingira mabaya hivyo kila mwanamme anamuoni ni nyoka, hayo ni matatizo ya kisaikologia. Aendelee kusali Mwenyezi Mungu atamtimizia maombi yake.
 
Hebu give us a break!kwa hiyo dada mmoja akiwa na psychological problems na mastress yake ndo unageneralize kwa wote??this is too low..
Note:being in a relationship doesn't always mean happy and being single doesn't always mean lonely!

On record- what maximum length of time have you gone without a relationship?
 
izo tafit za kumuona demu mmoja ivi..demu mmmoja vile then unaconclude wanawake wote wapo ivo mmhh mtakuja kuvurugwa peupe:glasses-nerdy:

Bibie leo mada imegonga sehemu yake nn? manake umeamua kumfungia kazi mtoa mada..
 
guuud gudder,gudest....

thank u Smile huyu mtu sijui vipi?utafikiri aliambiwa source ya furaha ya mwanamke ni mwanaume,wapo kibao wapo kwenye hizo relationship lakini wapo kama vile wamebeba zigo la moto!
 
Last edited by a moderator:
thank u Smile huyu mtu sijui vipi?utafikiri aliambiwa source ya furaha ya mwanamke ni mwanaume,wapo kibao wapo kwenye hizo relationship lakini wapo kama vile wamebeba zigo la moto!
wanaishi kuzimu while wapo duniani. wanaume wenyewe furaha hawana sijui wewe watakupaje furaha......
 
Back
Top Bottom