Hivi mimi nitatosheka na mwanamke mmoja kweli...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mimi nitatosheka na mwanamke mmoja kweli...!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtambuzi, Apr 24, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Niko hapa maeneo ya Mlimani City na mfanyakazi mwenzangu ambaye bado hajaoa……… Tumesimama mahali ambapo kila anayeingia na kutoka hapa Mlimani City tunamuona.................. Kuna mabinti wengi wazuri wa kuvutia wakiwa na vivazi ambavyo ukiwaangalia.............Mashaaallah, wamejaaliwa hasa........ Wenye Pedo haya wenye Skin Jinzi haya, wenye Suruwale za kubana makalioni tena mlegezo wakiwa vitovu nje nao wapo, wenye Vikuku haya wenye Viatu vya Makhirikhiri twende kazi, ili mradi kila mmoja kapendeza kama mamtoni mwanawane..................
  Yule mwenzangu nilipomuangalia namuona kawakodolea macho huku domo limemlegea utadhani fisi aliyeona mnofu...............
  Namuuliza, “Mwenzangu kulikoni umetoa macho kiasi hicho?”
  “Aisee..... Kweli Mungu anajua kuumba, mabinti wazuri namna hii, hivi mimi nitatosheka na mwanamke mmoja kweli....................!” Alinijibu huku akiendelea kuwakodolea macho.........
  Mh! Nilibaki kuguna..............
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mswati na Zuma hawajatosheka sembuse yeye....lol
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Iko siku atakuja jua, hata mmoja kuwa naye ni kazi :A S shade:
   
 4. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Zuma can't be serious. It's hard enough for a young man half his age to keep up with as many women as he has, but he is in his 70s and he's got like six or seven wives?

  What does he do with all of them? I bet they cheat on him so bad..
   
 5. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  :yuck: napita tu nitarudi baadae!
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mweleze tu kwamba, kwa ujumla mwanamke mmoja hatoshi, ila pia kummudu kwa kila kitu si kazi ndogo!!


  Babu DC!!
   
 7. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Zuma ana vituko sana, yani mtu mwenyewe ana kifua kilicho regea, mpaa anaonekana kama ana matiti afu anataka kubeba 26/24 si watamua :A S shade:
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  May be for him it's a cultural heritage...lol
   
 9. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa yangu kwa umri alio nao angepaswa kuwa amewowa, lakini kila siku anaendela kupima.........Mara leo yuko na huyu kesha kabalidisha mwingine.....................Yaani kaazi kweli kweli
   
 10. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Yeah it probably does bring enormous social and cultural prestige. Otherwise I don't see the use of having that many...
   
 11. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Anatumia MKUYATI
   
 12. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hata wewe nimekuona hapa Mlimani City, umevaa skin jinzi na baluzi ya pinki
   
 13. S

  Saas JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtambuzi nimekuona hapa fish fish naona na wewe umekodoa macho kama mwenzako mama ngina umemuacha wapi
   
 14. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Utam wa mua ule bila ganda.......
   
 15. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hahaha safi sana :poa
   
 16. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  Mwache aendelee kuwa mkemia mkuu..lakini ajue siku si nyingi naye atapimwa kujua anazikwa akiwa amebakiwa na kilo ngapi!
   
 17. Ndetirima

  Ndetirima JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  Utatosheka tuu maana hata wanaopiga puli huwa wanatosheka kuliko kawaida ndio maana baada ya muda hawawezagi kufanya mapenzi na mwanamke tena hata awe mzuri kama malaika ila kupiga puli anaweza. Hiyo ni akili yako ya tamaa za mwili tu lakini wote wako sawa tu.
   
 18. J

  JOJEETA Senior Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alivyokujibu ukkakaa kimya?dah ama kweli wa mbili havai moja...
   
 19. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ...mwambie ni maua tu hayo...huchanua na kunyauka..

  Or else ajiandae na "brein konkashen"
   
 20. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  kutosheka kwa mmoja ni ngumu ila pia kuishi na hata mmoja ndani ya nyumba ni tabu!ila kuchovyachovya ndoani haiepukiki
   
Loading...