Malecture wa chuo Bwana wanapenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malecture wa chuo Bwana wanapenda

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kikombe kinafurika, Apr 25, 2012.

 1. K

  Kikombe kinafurika Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni situation ya kweli hapa nchini, hv ni haki kwel kwa mwanachuo wa kike kulazimishwa kungonoka na lecturer ndo apewe coursework acpofanya hivo anasapushwa ikiwezekana na kukeri kabisa hilo somo, naombeni mawazo yenu ktk hili hv tufanyeje'
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu usilete habari za kufikirika hapa, wengine wake zetu wako vyuoni ni wanafunzi, sasa usitufanye tukapata presha bure.
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Ukiona hivyo wahi kuripoti TAKUKURU huyo mwalimu awe mfano kwa wengine wanafunzi mnalea tabia hii itakuwa sugu sasa.
   
 4. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Na wanafunzi wa kiume wanatakiwa kutoa nini if that is the case? Acha kutoa sweeping statement hapa!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Si kweli, anapima kina cha maji kwanza
  Kama msichana analika, anamla. Hawezi disko kisha amemnyima mtu K
   
 6. K

  Kikombe kinafurika Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaan mkuu hii ni live bila chenga, tena wake za watu ndo wanavua kabisa wanavua hadi pete za ndoa ili ..........
   
 7. K

  Kikombe kinafurika Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili nalo neno.
   
 8. maphie

  maphie Senior Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wala hili halina uthibitisho; wote tumesoma vyuo vikuu na kuona jinsi wasichana au wake zetu wanavyolazimisha ngono wenyewe kwa walimu hawa! Kama wanliwa basi n kwa sababu ya umala wao na sio kwa sababu atakamatwa! Fanya utafiti vizuri uone jinsi walimu wa vyuo wanvyopata shida kuzikimbia ngono za wanavyuo hawa
   
 9. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Inategemea na jinsi unavojiweka bana! Lecturer hawezi kukufuata tu from no where,mara nyingi tatizo huanza kwa mwanamke/msichana mwenyewe..unakuta mdada anaendekeza starehe at the end of the day anafail..akishaona hivyo anaanza kujichekesha kwa malecturer na kuwafata ofisini wamsaidie.,hapo ukitongozwa utalalamika??
   
 10. K

  Kikombe kinafurika Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaan hii ni kweli inatokea akimnyima kitu anamchinjia baharini'
   
 11. K

  Kikombe kinafurika Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kiac kikubwa wa kiume ni pesa tu ndo huwa wanatoa,
   
 12. M

  MAGISAC Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo si la malecturer bali wanavyuo wenyewe. Wengi ni wavivu hawasomi inapofikia mambo yanakuwa magumu wanaona ni bora wajisalimishe ili wasaidiwe. Muhimu wanachuo wajue kilichowapeleka chuo ni nini?
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Weka Mitego ya Takukuru!
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  jamani...mbona wengine tumesoma hatukuwahi kuombwa? Ina maana tuna sura za kutisha au?

  Kwanza huo muda wa kuonana na malecture(nje ya darasa) wanautoa wapi?
   
 15. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Chuo gani unaongelea..........
   
 16. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni kweli haina ubishi.Wengine wanatoa wenyewe baada ya kuona mambo yanakuwa magumu
   
 17. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mavumba!
   
 18. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Ina maana wanawake pesa hawana au lecturers hawataki pesa za wanawake?
   
 19. K

  Kikombe kinafurika Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wanawake wanataka dudu tu,
   
 20. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mambo mengine kuendekeza huyo lecturer unayempa nafasi mpaka nje ya darasa mnakuwa na mahusiano gani mavyuo yenyewe yalivofurika
   
Loading...