Siri ya mafanikio ya Bishanga (for ladies only).

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Jana rafiki yangu kipenzi kaniuliza..'hivi wewe Bishanga wanawake wanavyokupapatikia unadhani ni kwa vile we ni handsome?' Nilitafakari na baada ya kufika nyumbani nilisalula kila kitu nikabaki kwenye suti yangu ya kuzaliwa kisha nikasimama mbele ya kioo.Looo nilichokiona...mtumbo huo utadhani bogi benda,mpua ka wa Pinoccio,kushusha macho chini kanonino saizi ya bamia ,vimiguu ka fito,kupandisha macho juu bichwa shepu utadhani niligongwa na treni utotoni,nikawaza labda napendwa shauri ya pafomensi lakini mbona nikiingia mchezoni arusha moshi arusha moshi mbona dakika mbili niko Gilman point ? (halafu eti naambiwa...'darling that was great...mmmhhhh Bishanga wonders!). Kina mama hebu nipeni mwanga mnahisi nini siri ya mafanikio yangu hadi napapatikiwa na kugandwa ka luba?
PS:Wakuu naomba nijipongeze hii ni my 5000th post!
 
Haaaahaaa! Bishanga unafurahisha sana....bila kufanya self assessment ingekuwa ngumu kujua kwamba unaibiwa.
 
For ladies
Napita tuu hapa Mkuu Bishanga
Ila sio kimya kimya
Unaibiwa hapo washajua wewe ni mtu wa kumwaga manoti so wanakuja kuzichuma tuu hapo
 
Mkuu, kwani unatoaga shiing ngapi kwa NIGHT MOJA ili tukutathmini kulinganisha na sifa unazopewa?
 
Hivo vitu ulivotaja havi matter sana kwetu kama inavo matter kwa nyie guys..... B' Labda unayo yafuatayo...

  1. Una appreciate sana wanawake to the extent kua kila uwapo na mwanamke humfanya asikie she is the only special woman to you hapa duniani.
  2. Uko reliable.... ni the kind of man hata kama umebanwa vipi na wajua kabisa kua mpenzio akuhitaji (within reasonable realm) unahakikisha upo hapo kuweza angalia kama hilo swala lipo ndani ya uwezo wako.
  3. Tena wewe B' ni dhahiri wapenda wanawake na kila siku wajisifia. Lakini pamoja na hayo aidha ni one man woman hata kama ata last for a month OR kama wawachanganya you are really good... hata siku moja hawawezi juana. na wakijuana or kukutana umejenga mazingira kila mmoja afikiri the other ni ndugu wa damu.
  4. Wanaume wengi wanao jijua kua Senior wao ni mdogo sano, wako really really committed kutumia extra maujuzi kuhakikisha kua mwanamke wake karidhika..... Hivo yawezekana 6/6 uko fit hata kama you are not proud of the size.
  5. B' kila siku wajisifu kwa mapesa ulo nayo...... Yawezekana ni mtoa huduma mzuri sana kwa wapenzi wako.

Habari yako B'?
 
Hilo halipo maana kashasema dakika mbili kwisha habari yake...kwani yeye amekuwa jogoo?
 
Off topic:Bora nimekuona! Sasa ngoja tuende PM nina kesi na wewe!

hahahha..... PJ Yamekua hayo tena? ile kesi haijaisha tu? Huoni nilivo nyenyekea kwa salam za upole hapa? Hio ilikua ni kuua kesi....
 
Hilo halipo maana kashasema dakika mbili kwisha habari yake...kwani yeye amekuwa jogoo?

Bishanga akiwa anafanya ile kitu akili hupaa (Source: B' mwenyewe) Hizo dakika anazi hesabu vipi? Mie naona ka exaggerate tu hapa! lol
 
Ucheshiwako na unavyowapatiliza wa dada hata kama pesa huna lakini mda na kauli tamu ni silaha kubwa kwa mwanamke mwenye hekma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom