Msaada: Mke wangu Ameijua User name yangu ya JF

Hydrocephalus

Member
Feb 6, 2012
27
5
Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF. What should i do?. Naweza nikabadilisha Hilo Jina nikim uaomba Moderator?.
 
kwan c ni mke wako, sasa waswas wa nini, kuna ubaya akijua user name yako? au unataka kumcheat?
 
Why nyingine?
Huwa unatafuta wachumba JF?
Unvisit majukwaa gani ambayo unaona si vema yeye akajua?
Una uhakika gani kuwa anaweza kufuaitilia mjadala huu na kuona unavomshitakia?
 
Makubwa! Kwani kuna ubaya gani akiijua?eti?au una mpango wa kando humu ndani?
 
acha hiyo hiyo inayo julikana na mkeo. siku yakikufika tunaweza pata taarifa kirahisi.
 
Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF. What should i do?. Naweza nikabadilisha Hilo Jina nikim uaomba Moderator?.

Do you really love your wife?
 
kwan c ni mke wako, sasa waswas wa nini, kuna ubaya akijua user name yako? au unataka kumcheat?
Hata mimi nashangaa anacho ogopa nini, kama hafanyi mabaya.

Labda ana second wife hapa JF, anawasiliana naye kwa code flani si unajua haki imehifadhiwa.
 
una maajabu yeyote kwanini unaogopa

jamani, JF is a place where one dares to speak openly under the umbrella of anonymity, sasa mkeo akishajua, kuna chance ya mtu wa tatu kujua. Na wengine tunaweza poteza hata kazi kama ikitokea watu fulanifulani wakafahamu na kuona what we are " or have been" Posting. Na pia jamani to be sincere, hata ninyi wenzangu sidhani kama mngependa wake zenu waone some of the funny things mnazopost hapa JF, hususani kwenye MMU Jukwaa.

User name hii ninayotumia hivi sasa nimeicreate recently, lakini nina user name nyingine ya miaka mingi, na ni Nimeshafikia kwenye Rank za juu kabisa hapa JF. Na nisingependa niachane na hiyo User name.
 
Why nyingine?
Huwa unatafuta wachumba JF?
Unvisit majukwaa gani ambayo unaona si vema yeye akajua?
Una uhakika gani kuwa anaweza kufuaitilia mjadala huu na kuona unavomshitakia?

Nimetumia user name nyingine, hata ukiangalia inaonesha bado ni Junior member, but mimi ni Nguli Hapa JF wa Kuanzia Mwaka 2008. Na nisingependa niachane na Hiyo status niliyofikia.
 
jamani, JF is a place where one dares to speak openly under the umbrella of anonymity, sasa mkeo akishajua, kuna chance ya mtu wa tatu kujua. Na wengine tunaweza poteza hata kazi kama ikitokea watu fulanifulani wakafahamu na kuona what we are " or have been" Posting. Na pia jamani to be sincere, hata ninyi wenzangu sidhani kama mngependa wake zenu waone some of the funny things mnazopost hapa JF, hususani kwenye MMU Jukwaa.

User name hii ninayotumia hivi sasa nimeicreate recently, lakini nina user name nyingine ya miaka mingi, na ni Nimeshafikia kwenye Rank za juu kabisa hapa JF. Na nisingependa niachane na hiyo User name.

Alokudanganya nani
OTIS
 
Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF. What should i do?. Naweza nikabadilisha Hilo Jina nikim uaomba Moderator?.
Kweli kazi tunayo yaani mpaka mkeo hutaki ajue ID yako......!?
 
Siriiii imefichuka, kosa la mesenja kaleta balaaa...kosa la mesenja kaleta balaaa..Nimejuua aina ya maisha unayoishi na mkeo, hahahahaha.............kumbe mko kama paka na panya!! Duuuu.., inawezekana ulilazimishwa kumuoa!!
 
Hapana si kweli!!. Look at this issue in a different perspective, you might understand what i mean!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom