Nampenda Nampendaa Nanii Nampendaaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampenda Nampendaa Nanii Nampendaaa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Simba Mkali, Apr 25, 2012.

 1. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 595
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Ulikuwa kama mchezo mnakusanyika watoto wa kike na kiume na mnaanza kuimba, akianza mwanamke anamachagua mwanaume na akianza mwanaume anamchagua mwanamke, wengine tulikuwa tunautumia kwa kumaanisha kile tulichokuwa tukikipenda kweli, ulikuwa ni kichocheo cha kuanza kutongoza na kufanya kweli. ole wake umchague mwanamke baadaye ikifika zamu yake asikuchague. Nani anakumbuka?
   
 2. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hahaha naikumbuka sana hio style ilikuwa ikitwa kio kiooo :bounce:
   
 3. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Umenikumbusha mbali mkulu! Kioo kioo alikiona nani, sijui sijui ...
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  alikivunja nani sijui sijui waongo nyie woote piteni piteni, mwa mwisho akamatwe.

  Mbona sio huu wimbo?
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Duh!umenikumbusha mtoto happy enzi hzo,alikua ananipendaje!!
   
 6. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kongosho ndo ilikuwa same group, mnanza kuimba kwanza kio kioo, afu waksiha kukamata ndo we ulio kama unanza kuiba tena nimpende nani au nimchague nani, kama sijakosea vile unajua siku nyingi sana aisay.
   
 7. zimwimtu

  zimwimtu JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 1,889
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  ha ha ha......., kamchezo kalikuwa poa sana. tena mida ya jion ka giza kanaanza. ulomchagua hachomoki cku hyo...............
   
Loading...