hivi inakuwaje kwa mabinti! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi inakuwaje kwa mabinti!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ENOCK TUTU, Apr 25, 2012.

 1. E

  ENOCK TUTU Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wanaume huwa wana usiri sana pale ambapo rafiki ake anakuwa ana mademu more than one, hata iwe rafiki ake awe amekwenda kumsindikiza binti mwingine, utasikia rafiki ake akisema oooh shemu karibu sana mwana kakumiss mbaya,ngoja nimstue anakuja sasa hivi.ningependa kujua hivi kwa mabinti hili lina kuwaje wanafichiana uovu au akuna kitu ka hicho!
   
 2. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,681
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Ukiona hivi ujue mtoa mada ana tabia hiyo sasa bahati mbaya katika pitapita zake moyo wake ukamdondokea mojawapo wa wahanga wake. Sasa si unajua mwizi siku zote huwaza na yeye anaibiwa?
  Wewe jua tu one thing ; "He who lives by the sword dies by the sword"
  ENd laifu kuntinyuz..
   
 3. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Wapo wengi tu wanaofichiana bana.

  Hao wanawake siyo watakatifu hivyo. They are just as bad as men. Don't let nobody tell you otherwise.
   
 4. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  hebu waulize mabinti wa hapo shuleni/chuoni kwenu,watakupa jibu sahihi zaidi..
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kila mtu na msiri wake.
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  kama ilivyo kwa masela ndivyo ilivyo kwa madadadu tena wao ndio wabaya ile mbaya usipime..
   
 7. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mmmmmmh... Nitarudi kuona mabinti wanalongaje....
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kashashe ni pale wadada wanapogombana, siri zote huwa hadharani ili hali kwa wanaume ni tofauti kabisa
   
 9. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tena hao ni balaa kweli wakati nilipo kuwa msaidizi wa firauni, nilikuwa nikitaka mwanamke na mwambia rafiki yake wa kike huwezi kuamini siku ile ile navuliwa chupi...Kama humuamini tafuteni mwanamke ambaye ana wazungusheni, mpitie njia ya rafiki yake mtanipa jibu.


  BTW wanawake hata mtu na dada yake wana siri, anaweza kukutongozea dada yake, kama anakupenda wana siri kali hao :A S shade:
   
 10. client3

  client3 JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  mh husomeki kabisaa
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  mmmmh.....napita
   
 12. phina

  phina JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  we unaonaje??
   
 13. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wengine weshaanza kutunga humu...
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wapo wanaofichiana mpaka siku wanapogombana ndo utasikia wanashitakiana.
   
Loading...