Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

N i kisa cha kweli imenitokea leo. Huyu binti, anasoma hapa katikati ya jiji, mara kwanza nilikutana naye alikuwa amevaa kimtego, nikaomba namba akasema hana simu. Hivyo tukawa tunawasiliana na...
0 Reactions
93 Replies
9K Views
Kwa mbwembwe nimeingia, salamu nawatakia Za watoto nawaitikia, wakubwa naamkia, Swali nawaulizia, natumai mtajibia, Mgeni siku ya kwanza, ale na kubakishia? Mgeni akikujia, kutoka maili mamia...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
. . . .ever been told that? Kama ambavyo watu hua wanatamani kuambiwa "NAKUPENDA wewe" na kufurahia wanapoambiwa hivyo. . .je ni vipi ikiwa kinyume cha hapo? Ukiambiwa "NAKUCHUKIA wewe" na...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Familia moja ilikua na House Girl, alikua haruhusiwi kukalia sofa sebleni, haruhusiwi kula meza moja na familia ya mwajiri wake japo chakula kapika yeye, alilalia godoro jembamba la nchi 1.2...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wapendwa wangu wa jf nimekuwa na hili swali kitambo kidogo na nadhan hapa leo ntapata majibu hasa wakaka naomba mniambie kwa uzuri hivi inakuaje mtu mpenzi wako yeye anataka mchat tuu saana na...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Huyu kijana amegeuka kuwa hatari hapa mtaani ninapoishi. Mpaka sasa kuna ndoa kama saba hivi ambazo inaonekana jahazi linaelekea kuzama kutokana na ushushushu wa huyu kijana anayedai eti...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu mabibi na Mabwana Happy valentine's day to you all, kwa niama ya my BIIIG family, sweetie AshaDii, ma hommies, wapwaz, mabinamu, friends in need na wote wenye mapenzi mema. Kitu kimoja...
26 Reactions
162 Replies
18K Views
mm jamani ndugu yenu natafuta rafiki wa kike hapa dar nimeahamia hapa kikaz niko poa cna makuu yeyeto aliyetayari tuwacliane tu kwenye inbox ...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
hi m a Kamasutra teacher in Nirvaana school of sexual art. i m instructor of kamasutra an art of love making plz. Ask any question and i eill aanswer it. We are in kenya but want to open school...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Toka utotoni nimelelewa kwe familia ya watoto sita nikiwa wamwisho kwe madada watano ...mda wote nimezoea kupikiwa toka utotoni hadi namaliza chuo mwaka jana na kupata kazi..juzi nimerudi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwezi uliopita nilikutana na rafiki yangu wa kike wa facebook livena tukapata nae chakula cha mchana. Katika maongezi na kufahamiana zaidi nimetambua kwamba rafiki yangu ni mwananfuziwa chuo...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Habari wana Jf, Juzi kwa rafiki yangu kulikuwa na sherehe ya kuvishwa pete ya uchumba mdogo wake,watu tulikuwa wengi tu sebuleni, Ghafla ktk hali isiyotarajiwa aliibuka mtoto wa mdogo wake akiwa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Hii story ni kutoka kwa jamaa yangu ameniomba ushauri: ilikuwa juzi,mkewe alikwenda kwako kutembelea(kwao na mkewe ni mjini pia) Aidha baba mkwewe ni dreva tax. sasa jamaa yangu akaenda hotel...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Natafuta mpenz ambae anajijua n mkal in phisical appearance na mwenye figa nzur na awe anajijua ana ngoma,Asiwe mpenda ela coz mapenz ya kwel cio mpaka mkwanja,miaka 18,-22check me on...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nchi za wenzetu wanaume.hua wanaenda strip club kuangalia wanawake wakicheza taratibu na kwa madaha huku waki'undress. . .sina uhakika na huku kwetu. Nwy ni dhahiri kwamba wanaume hua wanapenda...
3 Reactions
159 Replies
11K Views
Mimi ni mvulana ambaye ndo kwanza naanza maisha tatizo la ajira nahisi limenifanya nijishughulishe na vibiashara vyangu vidogovidogo ambavyo vina nipa kula na mahitaji mengine.Katika maisha yangu...
2 Reactions
95 Replies
9K Views
Wadau naomba tutete kinaga ubaga,kuna jamaa yangu kanipa no ya binti mmoja na binti nimeisha ongea nae several time ila yet sijamwambia linalo nisibu kwake,na leo kaniomba tukutane na hatujawahi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
wajameni nilikuwa na uhusiano wakimapenzi na mke wa jirani.kila mara huniambia ananipenda sana kuliko mumewe wa ndoa, siku moja nilimwambia kama kweli ananipenda aende akadai talaka ili tuwe...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Salaams kwenu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 muislam, nafanya kazi kwa kuajiriwa kipato changu kinaniwezesha kumudu mahitaji yangu kwa ujumla. Namtafuta mchumba mchamungu, anaejihemu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jaman,mshkaji wangu amepewa huo mtihan na swthart wake.kiukwel msela,hajatulia kivile,na ninahc gal wake atakua kamshtukia,asa ananiomba ushauri amkubalie wakapime au vp maana ye pia anampenda ila...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…