Strip tease. . .

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,778
59,133
Nchi za wenzetu wanaume.hua wanaenda strip club kuangalia wanawake wakicheza taratibu na kwa madaha huku waki'undress. . .sina uhakika na huku kwetu.

Nwy ni dhahiri kwamba wanaume hua wanapenda kutazama wanawake(furaha ya macho) wakifanya mambo tofauti tofauti. . .kuonyesha kiuno kilivyolegea being one of those things. Sasa wewe kama mwanaume utajisikiaje/unafikiriaje swala la mwenzi wako kukupa "private show" badala ya kuishia kuangalia kwenye TV au kwenda strip club?

Badala ya kuvuana chap'chap mnawekana sawa kivingine.A 'lil bit of music. . .slow dancing. . .slow whining. . .teasing you. . getting undressed infront of you au hata poll dancing tena bila kutakiwa kutoa noti noti ili show iendelee.

UTAPENDA au HUTOPENDA? Kama utapenda mwenzio anajua hilo au unaishia kutamani tu?
 
Ngoja wenye wake waje,ngoja niangalie mechi ya Barca na Chelsea!
 
mhhhhhh! :):)....mie ngoja ninyamaze tu :):)

 
Last edited by a moderator:
Mie si mwanaume Lizzy dia but naomba nichangia

KWanza huku kwetu pia haya mambo yapo.... specifically niliwahiishukudia Nairobi Kenya but nasikia hata Dar yapo.

Hahahaha hapa kwenye kukiri kupenda au la mwe! debate itaanzia na unafanya kwa dhana gani? kumkeep mume ndani au ? Wakija kina Mbu na DC hapa watakutoa dima na viG-string vyako na poles watang'oa.
 
mhhhhhh! :):)....mie ngoja ninyamaze tu :):)



Hahaha Shemeji yangu kwa woga loh

Inategemea bana strip dance si lazima iwe kama ya wenzetu bana, ile ya kucheza na mapole sijui majiti ah......... zipo za asili, za kiuchokozi jamani ni maswala ya ubunifu tu kwenye vijiutundu hivi, mwenyewe atapenda bila hata kujua kama unam-strip dansia ati..... hah midumange, n.k
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahaha Shemeji yangu kwa woga loh

Inategemea bana strip dance si lazima iwe kama ya wenzetu bana, ile ya kucheza na mapole sijui majiti ah......... zipo za asiliu, za kiuchokozi jamani ni maswala ya ubunifu tu kwenye vijiutundu hivi, mwenyewe atapenda bila hata kujua kama una-strip dansia ati..... hah midumange, n.k


Hahahahaha lol! Si woga bana MJ1 :):) nikiandika hapa huu uzi itabidi uhamishwe kwenye jukwaa la wakubwa ambko wengine hawana access nako :):).....Mhhhhhh! Mchaga wa Tanga haya bana nanihii :):)atapanda ndege fasta fasta ili atie timu jijini :):)
 
It could be one hell of a mad show imagine someone striping for you in the bedroom halafu at the back ground Kelly Rowland song “Motivation” is playing
 
Lizzy, nadhani concept ya kum-turn on mwenzio kwa kumtamanisha mwili wako ipo. Sijui kwa makabila mengine ila kwa kabila letu kuna mambo hua tunafundwa yanafanana na strip tease, ingawa haya involve undressing in slow motion etc. Just erotic dressing, dancing, manukato na mengineyo.
Pia kuna personal initiative maana siku hizi kuna kufundwa kwa internet pia. Some people actually dare and it is appreciated. But it is not an alternative for one who likes strip clubs.
 
Li Bishanga Abashaija likija humu ntalimwagia ile kemikali

Binafsi napenda sana lap dance...na strip clubs zimenimalizia sana hela zangu na siku hizi siendi kabisa. Mara ya mwisho kwenda ilikuwa 2007.

It was just a waste of my hard earned money.
 

Hahahahaha lol! Si woga bana MJ1 :):) nikiandika hapa huu uzi itabidi uhamishwe kwenye jukwaa la wakubwa ambako wengine hawana access nako :):).....Mhhhhhh! Mchaga wa Tanga haya bana nanihii :):)atapanda ndege fasta fasta ili atie timu jijini :):)

BAK hahahah etiii? Mchaga wa kitanga loh!

Una uhakika hayupo hapa eh?? Wala makeke tu ya keyboard shem sina a wala be mie.......

Seriously unajua wengi tumeathiriwa na gender na Beijing...kumchezea mpenzio kidogo tu hata kutikisha majaaliwa tunajisikia kuwa tunadhalilishwa phweee! Kuna ubaya gani kujidhalilisha kwa kupenda? Bwana mie nathamini sana tabasamu la mpenzi wangu (Nikiwa na furaha na nafasi) akha!! Hata kama ni bafuni bana mie ntacheza tu na hivi nina shepu ya kichaga basi nikijitikisa mwili mzima na kuona lile tabasamu lake ah najilinganisha na Ms. Tanzania aisee............. ah nini kujistress bana.
 
Li Bishanga Abashaija likija humu ntalimwagia ile kemikali

Binafsi napenda sana lap dance...na strip clubs zimenimalizia sana hela zangu na siku hizi siendi kabisa. Mara ya mwisho kwenda ilikuwa 2007.

It was just a waste of my hard earned money.
Aisee umeishaisikiliza “Lap Dance” ya Tyga produced by Lex Luger
 
Aisee umeishaisikiliza "Lap Dance" ya Tyga produced by Lex Luger

Mambo yote "Tip drill" bana. Enzi za BET Uncut....hahahaaa. Nazimiss sana zama zile.

Kuna sehemu Nelly ali-swipe credit card kwenye crack ya mdada (dakika ya 6:55-57)...basi wadada wa Spelman College wakamshikia bango yeye na BET hadi BET wakaacha kuonyesha tena hicho kipindi. To some of us that was a bummer.
 
Mambo yote "Tip drill" bana. Enzi za BET Uncut....hahahaaa. Nazimiss sana zama zil

Kuna sehemu Nelly ali-swipe credit card kwenye crack ya mdada (dakika ya 6:55-57)...basi wadada wa Spelman College wakamshikia bango yeye na BET hadi BET wakaacha kuonyesha tena hicho kipindi. To some of us that was a bummer.
Hahaha you got memories man hiyo incident banaa mimi sikutegemea ingekuwa ishu kihivyo kuna moja na yenyewe ya T PAIN similar to that one
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom