kuna ukweli hapa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna ukweli hapa!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by beibe nasty, Apr 11, 2012.

 1. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  wapendwa wangu wa jf nimekuwa na hili swali kitambo kidogo na nadhan hapa leo ntapata majibu hasa wakaka naomba mniambie kwa uzuri hivi inakuaje mtu mpenzi wako yeye anataka mchat tuu saana na yeye kupiga simu wala hataki anasema simu inazima chaj n and ukimpigia anapokea na mnaaongea vizuri tuu sasa nataka jua kweli hayo ndo mapenz yanavyotakiwa kuwa au ninini? Plz nisaidien
   
 2. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,456
  Trophy Points: 280
  ni kawaida inategemea mtu na mtu hata mimi napenda zaidi kuchat kuliko kupiigwa simu.
  Usimfikirie vibaya ni jambo la kawaida tu kama wengine ambavyo hawapendi kuchati wanapenda kuongea
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hana pesa ya kupiga so akijiunga na msg kwa sh 500 bas mpango kaamili from am to pm
  dzain yupo na mwenzako ndo mana apend kuendekeza cm
   
 4. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mapenzi yanaweza kuwa hivyo kama kuna 'mutual consent' kuwa yawe hivyo na you both enjoys...Ni mapenzi kama wote mnataka yawe hivyo-kinyume na hapo siyo mapenzi.
  Jaribu kuchunguza financial standing yake na anavyobehave towards spending(m'bahili?). Kisha utajua umsaidieje kwa mawazo, hali na mali ili mambo yaende jinsi wote wawili mnavyotaka.
   
 5. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kicheche hicho, kinajua ukipiga simu Kanumba wake ataisikia na wataanza kunyang'anyana mwishowe afe
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  by chatting unamaanisha texting?

  if so pamoja na kwamba mimi si mkaka; texting ina ladha yake, coz baadaye unaweza refer zile meseji na au kusuuzika au kuunganisha dots, au chochote. Lakini na kuongea pia kuna raha yake, coz kuna kusikia sauti, kucheka etc. Hivyo ni vizuri kukawa na balance
   
 7. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Thank u dear i hope hakuna tatizo yan jamaa ndo yupo hivo
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Me mwenyewe nikiwa na muda huwa napenda chattn sana than kupigiana simu.
   
 9. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mmmmh hatari! Mpenzii
   
 10. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Senator naiman ndo ivo kipenzi yan sina jinsi
   
 11. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ubunifu wako umeniacha hoi!! Kanumba kaacha gumzo.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hmmmm hizi multiple IDs hizi...
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Mie hata sijaelewa.
   
 14. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Dear one asantee mpendhii
   
 15. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Dear financial he isnt bad bt anasema yeye ni mvivu saana smtms yan
   
 16. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Swir ndo ivo dunia yako chaguo lako mwenzangu nyani hahaaaa
   
 17. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kongosho hujaelewa nin laazizi weee
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Na mtindo wa kuandika mtu anabadilisha kabisa teh teh teh....

  Kweli lakini, dunia yako, vidole vyako, vyote chaguo lako.
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  inawezekana hii ni ID ya jini mapembe eeh?
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  tupa kule huyo mtu.
   
Loading...