''Kama unataka kuendelea na mimi,bac twende tukapime HIV kwanza''

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Jaman,mshkaji wangu amepewa huo mtihan na swthart wake.kiukwel msela,hajatulia kivile,na ninahc gal wake atakua kamshtukia,asa ananiomba ushauri amkubalie wakapime au vp maana ye pia anampenda ila wasiwasi wake ni kwamba,ikitokea bahati mbaya akakutwa ana ngoma na ukzngatia huu ndo mwaka wake wa mwsho chuo,c ndo atakufa kabla hata ya cku zake.naomben mawazo yenu ili niweze kumshauri huyu mshkaji mwenzetu wakuu.
 
mh,anahitaji ujacri wa kifisad. mwambie amzugezuge hyo mdada mpk amalze mitihan make km akikutwa nao atafail vibaya
 
Jaman,mshkaji wangu amepewa huo mtihan na swthart wake.kiukwel msela,hajatulia kivile,na ninahc gal wake atakua kamshtukia,asa ananiomba ushauri amkubalie wakapime au vp maana ye pia anampenda ila wasiwasi wake ni kwamba,ikitokea bahati mbaya akakutwa ana ngoma na ukzngatia huu ndo mwaka wake wa mwsho chuo,c ndo atakufa kabla hata ya cku zake.naomben mawazo yenu ili niweze kumshauri huyu mshkaji mwenzetu wakuu.

akapime kwanza mwenyewe akijikuta freshy, amchukue mtoto akapime nae, akikuta sio freshy ampotezee mtoto, sema kama anahofia mitihan asubiri apige mithan hlf ndo aende kuchek hyo kitu
 
Hiyo inaitwa mtaka cha uvunguni...... so mwambie ainame tuuuuu, maana bila kuinama labda avunje kitanda (force king kwa msichana huyo)
 
safi sana..
Kuna raha yake mkipima na mechi ikapigwa peku pekua
OTIS
 
Kwanini uwe mtihani, kama anampenda kweli atamhami na hakuna njia ila kupima
 
kama ni mm bora penzi lifike mwisho....kupima ngoma sio shughuli ndogo!

ukijua afya yako unakuwa huru kufanya na kuishi safe life. Ni ngumu sana maana ugumu unaotokea kwenye pitc mpaka jasho linakutoka. Inahitaji confidence kubwa kufanya mambo haya tena bila shinikizo. Kama hayuko tayari amwambie tu wawe washkaji wa kawaida mpaka atakapokuwa tayari psychologically ndipo waende. Tatizo dada zetu wanataka kutiana ndo anahisi utampenda.
 
Akapime sio kwa ajili ya msichana bali kwa ajili ya nafsi yake kwani atakapo jua yuko fit ndio ataacha uzinzi au kama bahati mbaya basi atakua anawapa nasaha wenzie.....
 
Kwanini uwe mtihani, kama anampenda kweli atamhami na hakuna njia ila kupima

hakuna kitu kigumu kama kupima kwa shinikizo la mtu. Wakati huo ukijua kwamba hujatulia manake ukijulikana unao unaachwa aafu unatangazwa unao ndo hapo kujiua kunakuja. Kupima ni uamuzi binafsi ndo maana hata madaktari huwa wanakushauri,wanakuacha ufikirie. Ukikubali anakupima na kukupa majibu hata kama anajua umeathirika hawezi kukuambia bila kuwa na pre and post test councelling. Hivi vitu siyo vyepesi na mazingira yenyewe ya chuo. Utahisi kila mtu anafahamu na ndo kuuana kunaanzia hapo.
 
Niko na wewe kwa asilimia 100% peku peku inaraha yake na hasa mkiwa mnapendana na jamaa mambo anayajua ndio ooooh raha tupu!!!!

Mie ndio maana sipendi mambo ya kukutana na mtu na kwenda kucondomize
Imagine upo rum na umpendae full AC
Hapo ni full raha dunia kitu peku pekua
Kuna mambo mengi nipendayo mfanyia msichana na hilo lawezekana tu pale tu atakapokuwa HIV negative arabianfalcon
OTIS
 
Last edited by a moderator:
Bila kupima mnajitumbukiza kwenye giza nene la kukosa amani maishani

Kama hataki kupima kwaajili ya penzi lenu huyo hakupendi kabisa

Ni muhimu kujua hali ya maambukizi ya vvu kabla ya kujiingiza kwenye penzi ambalo hujui litakupeleka wapi

Kabla ya kuwekeza please pimeni ili kuwa na Amani
 
Back
Top Bottom