Ukimtaka Mwanamke/msichana...the Do's and Don'ts

Kaizer

Platinum Member
Sep 16, 2008
25,320
17,822
Wakuu mabibi na Mabwana

Happy valentine's day to you all, kwa niama ya my BIIIG family, sweetie AshaDii, ma hommies, wapwaz, mabinamu, friends in need na wote wenye mapenzi mema.

Kitu kimoja kinanishangaza sana nimeona ni muhimu tukapeana ushauri hasa kwa siye tunaojiona Wanaume.

Ukimtaka msichana, ukataka awe mpenzi wako, katika shida na raha, watakiwa kwanza:

  • Uwe na uwezo wa kusimama kama MWANAUME...both in public and in private, uonyeshe kuwa waweza kumtetea mpenzi wako to be katika shida yeyote, waweza kumprotect, to say the least.

  • Usije hata siku moja, ukamtaka msichana kwa gia ya kumpakazia rafiki yako (ambaye unahisi anamfukuzia), kumsemea vibaya/mabaya lengo likiwa kumpaint kama a bad boy. Amini usiamini, kwa kufanya hivyo wampandisha chati rafiki yako, na kujidharaulisha kwa huyo mwanamke...HUTAMPATA. DON'T be a coward....speak it out

  • Katika kumwaga sera za mapenzi a.k.a kutongoza, kuna KUKUBALIWA, KUSUBIRISHWA, Na KUKATALIWA pia. Amin nakuambia, KUWA TAYARI kukubaliana na majibun utakayopewa, Tambua kuwa you are not so special and you may NOT simply be her type. PESA, MALI etc haviwezi KUNUNUA moyo wa mwanamke yeyote MWADILIFU.

  • Elewa kuwa mwanaume kuwa mmbea sio sifa hata kidogo mbele ya mwanamke....Mwanaume unatakiwa unapokuwa na mpenzi wako, uonyeshe upeo wako wa uelewa wa mambo mbalimbali, uhodari wa kupanga mipango ya maendeleo na kimapenzi...sio uhodari wa kuongea mambo ya watu!
  • Ujue kusema/kutumia neno SAMAHANI. Amini nakuambia, hutajuta kamwe kulitumia for you will always be rewarded.
Na hilo ndilo neno la LEO, siku ya wapendanao.

Baada ya kusema hayo, nawakaribisha wengineo wajazilizie, of course najiandaa kuja na part 2 kwa upande wa kina dada.

Happy valentine!:poa
 
Umemaliza kila kitu hapo Kaizer!!

heart-1.png
 
Sweetie... well uliponiamsha, I thot nini sasa tena (hali we have already done it...lol); Well... am speechless... I think this kind of gives out a message of one of the few reasons I feel Loved by you.... A wonderful way to start Valentine.... Nikiunganisha na our ratiba the whole day... you can not imagine the anticipation I feel in conjunction with that tangling feeling..... Happy Valentines Love...:busu
 
PESA, MALI etc haviwezi KUNUNUA moyo wa mwanamke yeyote MWADILIFU.

Mkuu, hao waadilifu mbona kama karibu wanakwisha kabisa kwenye hizi enzi zetu? Simaanishi kwamba hawapo, lakini kama Marijani (RIP) alivyoimba, '.... kwenye watu kumi binadamu mmoja", naye kumpata ndo shughuli!
 
amesahau kuwa hiki ni kizazi cha nyoka. Nahisi huyo mmoja ni wa kwangu,ila nilisubirishwa zaidi ya mwaka. Teh!
 
Kutongoza is an art na pia hamna formula maalum. Kila mwanaume ana approach yake, na vivyo hivyo kwa wanawake kuna the way ukimuapproach lazima umpate.
Kaizer, hizo Do zako na Donts labda useme ukitaka kuwini moyo wa mwanamke na siyo simply ukimtaka mwanamke. Nasema hiv cuz kuna watu ambao hawashindi kitu, wapo radhi kutumia kila njia kuhakikisha wanampata mwanamke/msichana na kweli wanafanikiwa.
 
Mkuu upo sawa kabisa waadilifu ni wachache ila wapo....kumpata ndio hapo inabidi uwe umetulia, ukiwani yule wa dizaini ya kutaka vitu chap chap, utaishia kwa hao 9 mkuu
 
Kutongoza is an art na pia hamna formula maalum. Kila mwanaume ana approach yake, na vivyo hivyo kwa wanawake kuna the way ukimuapproach lazima umpate.
Kaizer, hizo Do zako na Donts labda useme ukitaka kuwini moyo wa mwanamke na siyo simply ukimtaka mwanamke. Nasema hiv cuz kuna watu ambao hawashindi kitu, wapo radhi kutumia kila njia kuhakikisha wanampata mwanamke/msichana na kweli wanafanikiwa.

Mkuu rejao

thanks ninamaanisha yote hayo,,,,sikulenga kutenganisha kati ya kuwin moyo wake na simply kumtaka for kwa mwanamke yeyote decent ni vigumu kumpata bila pia kuwin na moyo wake au sio.
Nakubaliana na wewe pia kuwa this is not a prescription...kila mtu ana namna yakeand these are just basics, kwa muono wangu.
 
amesahau kuwa hiki ni kizazi cha nyoka. Nahisi huyo mmoja ni wa kwangu,ila nilisubirishwa zaidi ya mwaka. Teh!

Nyalotsi...nini mwaka, kuna miaka...hadi saba lol haina formula ila am optimistic kuwa wapo kama ulivyompata wa kwako!
 
Sweetie... well uliponiamsha, I thot nini sasa tena (hali we have already done it...lol); Well... am speechless... I think this kind of gives out a message of one of the few reasons I feel Loved by you.... A wonderful way to start Valentine.... Nikiunganisha na our ratiba the whole day... you can not imagine the anticipation I feel in conjunction with that tangling feeling..... Happy Valentines Love...:busu

Thanks baby....Happy Valentines!:busu..unajua sitaki wapwaza na binamuz wawe dissapointed siku kama ya leo
 
Najionea maruweruwe tu. Mambo ni Buu Baa. One night stand. Hii yote kudanganyana na biashara.
 
Back
Top Bottom