Mpenzi wangu ananitisha nisaidieni.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpenzi wangu ananitisha nisaidieni..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Billie, Apr 24, 2012.

 1. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Mimi ni mvulana ambaye ndo kwanza naanza maisha tatizo la ajira nahisi limenifanya nijishughulishe na vibiashara vyangu vidogovidogo ambavyo vina nipa kula na mahitaji mengine.Katika maisha yangu ilitokea nilifanya mambo mengi ya kishujaa kwa msichana ambaye nipo nae hadi sasa.Nashukuru MUNGU kwa kujitoa kwangu kufanya mema kwa huyu msichana ikambidi anieleze kuwa nastaili kuwa mpenzi wake kitu ambacho sijawahi kuota.Huyu msichana kwa kweli ni mzuri sana pia ni mlokole mkatoliki.Uzuri wake umekuwa gumzo machoni na midomoni mwa watu.
  Kilichonisibu kuandika ni hivi:Huyu binti hana bahati ya kutongozwa na watu wa hali chini labda wengi wao wanamtania ila watu wenye pesa wanamzonga sana mpenzi wangu japokuwa ananieleza nisihofu atayashinda majaribu na mbaya zaidi imefikia hatua hata ndugu zake wa kiume kumtongoza jambo ambalo linanitisha.Bado ni mwanachuo ila huko nako malecturez and staffs wa pale chuo wanamsumbua kwa kasi mno juzjuzi kaanda sherehe ya birthdei wamekuja watu wenye mausafiri ya gharama na zimetolewa zawadi za kutisha hadi moyo wangu umeingia hofu.Namshukuru mpenzi wng kwa kunitambulisha kama mtu wake mbele ya umati ule lakini BADO KICHWA CHANGU KINALOAD SANA NAHISI HAYA MAHUSIANO YATAENDA KUNICHACHIA HUKO MBELE YA SAFARI kwa maana najiuliza ataweza kuruka vikwazo vya hawa watu wenye hela kushinda mimi mpenzi wake.KWA KWELI NATUMIA ENERGY NYINGI KULEA PENZI LANGU HUWA NATAMANI HATA NINGEMPATA ZOMBIE MWENZANGU NISINGEKUWA NA HOFU KAMA HII.Nisaidieni nitumie technique gan kumlea huyu mtoto ambae naona sio hadhi yangu hadi wazazi wangu wanaoneshwa kuwa na hofu nae kutokana uzuri wake umekuwa exeption sana.
   
 2. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Natamani hata ni apload picha yake ila na yeye ni member humu japokuwa yupo bize sana na masomo.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Hakuna mwanamke mzuri saaaaana.

  Kuna umri wa kutongozwa na watu kama elfu kwa siku kwa kila mwanamke, hasa kati ya miaka 16 - 26

  Akivuka hapo, basi ujue kuku wako mwenyewe labda we kicheche tu.

  Sasa wewe unataka ufanye nini cha ziada? Tembelea kwenye waya? Ruka sarakasi?

  Usijaribu kuwa ambacho hauko kwa ajili ya penzi, kama ni wako ataruka vikwazo, kama si wako hata umpe Mars atabenjuliwa tu.

  Dunia yako, chaguo lako, chagua kuwa na wanamke mzuri ili mapeshee wamtongoze, au chagua kuwa na zombie kama ulinyowaita.
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280

  Kwa hadithi hii inaonyesha wewe bado mtoto mdogo, hivi kwanini umeamua kujiingiza kwenye masuala ya mapenzi?????
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kumbe wewe kavulana, unataka umwanike mkeo mtarajiwa kwenye mitandao ya kijamii??

  No wonder anaalika mapedeshee.

   
 6. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Natamani hata ni apload picha yake ila na yeye ni member humu japokuwa yupo bize sana na masomo.
  Nimepost thread hiyo kutokana kuna matatizo madogo madogo huwa yanajitokeza ambayo sababu kubwa imeonekana ni uzuri wake ndio unasababisha.
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kama you are that threatened.... You do not deserve her, A time itafika atachoka na hio insecurity yako ya wazi hivo.
   
 8. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Kwa nini unasema hivyo?
   
 9. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  je wewe mwenyewe umeokoka?

  kumbuka ​birds of feathers flock together...
   
 10. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Kongosho vipi tena? Lengo langu sio kumuanika mpenzi wangu bali nimelenga kupata ushauri ni vipi naweza kabiliana na hali hii?
   
 11. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Hapana mi muumini wa kawaida wa thehebu la RC
   
 12. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kijana mbona hujiamini? kama unampenda na unaamini anakupenda basi huna haja ya hofu... angalia wivu unaweza pitiliza.... halafu ukamkosa jumla.... MUombee sana na wewe jitahidi kukaa vizuri na Mungu
   
 13. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kama nilivyosema hapo juu, birds of feathers flock together...

  nimeshatoa ushauri wangu apo juu, but the good thing ni kuwa nyoooote mu-wakatoliki basi kaeni kwa imani yenu na mjitulize.... I can see you kijana unaonekana kiasi fulani uko after ohysical appearance yake zaidi, kuliko yeye mwenyewe, kumbuka skin color can change, body weight/height can change, a look of person can change, ila the inner person will always value the credibility of a person
   
 14. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Hali ndio zinazonipunguzia confidence ila naamini ananipenda swali linalozunguka kichwani mwangu ni je ataweza kukwepa mitego ya noti?
   
 15. molely molly

  molely molly JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 317
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wenye kisu ndo wanakula nyama kuktambulisha hadharani sio hoja come up men!
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  mlokole mkatoliki ndiyo dini gani............................ndiyo nimeisikia leo.................tatizo ni wewe una very low self-esteem...........ahata hao unaowadharau kuwa ni saizi yako ujue kama hujiamini kiroho kitakuwa kinakusumbua................maana njemba mtaani zipo kunusanusa visivyo vyao..........
   
 17. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Tuliza akili. Suala la mapenzi kwa asilimia kubwa linatawaliwa na imani. Mwamini mpenzi wako (hatakusaliti) kama na wewe hufanyi hivyo. Kumbuka Mora ndo huwa anapanga, sio sisi wanadamu
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  simba mwenda kimya ndiye mla nyama?
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  usitubandikie picha hujui ya kuwa humu ndani ya JF kuna kumwaga mtama kwenye kuku wengi wengine huwezi kujua...........khofu isije ikawa khofu........
   
 20. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Jiamini kama anavyojiamini mpenzi wako.
   
Loading...