Nimtoeje maishani mwangu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimtoeje maishani mwangu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ambassador, Apr 26, 2012.

 1. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mwezi uliopita nilikutana na rafiki yangu wa kike wa facebook livena tukapata nae chakula cha mchana. Katika maongezi na kufahamiana zaidi nimetambua kwamba rafiki yangu ni mwananfuziwa chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye wazazi wake wako mkoani Mbeya. Alinielezakuwa wazazi wake hawana uwezo na hivyo anategemea msaada wa ndugu wengine ilikumeet gharama za masomo na maisha ya jiji. Hakusita kunieleza kuwa hata sikuhiyo alikuwa ameishiwa na hakujua afanyeje kuhusu mpango mzima kwani ndugu zakewalikuwa hawajamtumia pesa. Well, kwa kuwa siku hiyo nilikuwa nimezichanganiliona si vibaya nikimwachia wekundu wawili akapunguze matatizo yake.

  Since then sijaonana na huyo dada zaidi ya kuwasiliana nayekwa simu. Tatizo ni kwamba siku ninapopata sms au simu yake ya kunijulia halinajua fika kwamba baada ya muda mfupi kifuatacho ITV ni kupigwa mzinga. Maraooh, sorry dia naomba nipunguzie kidogo salio, mara samahani kwa kukusumbua leonina hamu ya kula samaki ila sina kitu please nijali kidogo, maraviatu vyangu vimefanyaje sijui I need a new pair, etc.

  Ingawa dada huyu ni mrembo wa haja mwenye sura ya kuvutia naumbo la uhakika, sijawaza kuwa na mahusiano ya kimapenzi nae zaidi ya kumtreatkama mdogo wangu. Sasa nimechoshwa na tabia zake maana naona anataka kunifanya ATM machine,kama sio mzazi wake. Nimtoeje maishani mwangu bila kumkwaza? Naona alishazoea ati!
   
 2. p

  panadol JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana,wewe una malengo gani nae?
   
 3. Brown ad

  Brown ad JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Jaribu kuongea nae umueleze taratibu kuhusu hiyo tabia kuwa imekuchosha ila kiukweli muda mwingine sisi mabinti kwa hivi vikero vidogo mtu kukusaidia kidogo unataka umgeuze babako!
   
 4. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Thanks. Sina malengo yoyote, she is just a friend
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Pole kaka Ambassador kwa mkasa uliokupata, ila tatizo lako moja tu, kumficha ukweli. Unachotakiwa ni kumuweka wazi ili ajue, maana wanawake zetu hawa ukishamuonjesha asali tu,atataka achonge na mzinga.
  Na usikute hana cha kusaidiwa na ndugu wala nini!!
  Mjini hapa,
  Akili kumkichwa,ukilemaa....! Labda pengine ulimuonesha wallet lako,maana nyie wanaume kwa kupenda sifa mbele ya mademu!
  Nawasilisha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  daah, hata mimi nilisha kutana mtu kama huyu mwenye story kama hizo hizo na mambo kama hayo hayo toka sehemu ya facebook.
  Hata nikawa najiuliza ina maana mimi ni baba yake au vipi maana mizinga na shida hazikuwa zinaisha. Later nikachange line na kila kitu
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ebu naomba namba zake ili nikusaidie kumtunza.
   
 8. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Thanks Madame B, kwa kweli sijamuonyesha wallet yangu. Labda alipoota wekundu wawili wametoka kiulaini akajua zipo maana nyie wanawake kwa kunusa nusa!
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  ATM machine at work.
   
 10. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mfowadie hii article yako.
  OTIS
   
 11. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  NitakuPM
   
 12. p

  puto Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 25
  jaribu kujua malengo yake kwako kabla ya kufanya maamuzi
   
 13. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Malengo ya kunichuna au ya urafiki wetu?
   
 14. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wengi wa watoto wa kike wa Vyuo hizo ndiyo zao mkuu Ambassador..

  Pole sana..

  Mimi kuna rafiki aliyenipa namba ya simu ya mdogo wa mkewe kwa kuwa binti huyo anasoma mkoa niliopo..
  Binti alianza kunizoea kwa fujo sana... Kwa kutwa sms 20 au zaidi.. Tukaarrange tukutane live..

  Alinishangaza mara aseme hapa tulipokutana pana 'gesti',mara we ulitegemea mi nipoje.. Vituko tu! Baada ya kuagana,vikaanza virungu hasa vya vocha..
  Nikawa namtekelezea kwa kutuma mara 500,ila si zaidi ya 1,000.

  Baadaye akaniomba 50,000/- kwa ajili ya stationeries za mambo ya chuo.. Hiyo nilimyeyusha.. Akaniuliza kwa njia ya meseji,"..au unataka unile kwanza ndiyo unipe hiyo hela? Ila mi siuzi.."

  Akauchuna muda mrefu,siku moja nikamwingizia 10,000/- ndiyo ikawa nimefufua mawasiliano..
  Kichekesho kikaja ambapo siku moja alinipigia na kuniambia anataka anipe 'dili'... Akanitumia maseji kuwa anataka 50,000/- alipie mtihani gani sijui.. Na kuwa nikishamtumia yeye atakuja niliko alale na mimi wiki nzima..
  (kumbuka huyu mtu wala sijamtongoza)

  Nikatuma 45,000. Alipopokea,alinitumia meseji ya ajabu sana kwani aliniambia nijiandae kwa "kuosha kimb**" changu! Nikasema namsaidia denti au namsaidia changu??!
  Nikaanza kuandaa mazingira ya kumdanganya nimesafiri ghafla kikazi.. Akalazimisha tu kuwa atakuja.

  Ilipofika siku ya yeye kufika ,niliazimia kutopokea simu yake na akisumbua zaidi nimweke kwenye "black list".. Sikuona akipiga wala kubeep.. Kesho yake ikapita.. Mara wiki,mara siku ya 11,12,... Nikawa nampigia hapokei.. Nikajisemea afadhali maana katika vitu ambavyo siviendekezi kivile,ni pamoja na sex..
   
 15. Anne Maria

  Anne Maria JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hahahahhaha daaaahh pole aiseee akili kichwani mujini hapa,, halafu umesema yupo chuo?? tena UDSM?? mmhh kaka unaingizwa mjini bila kujijua halafu wewe unamchukulia as a friend but trust me she takes u for more than a friend,, teh teh teh teh am a woman so i know how our minds operate..... chakufanya... kama unaona shida kumwambia umechoka na kuombwa hela na yeye, ni kila wakati akikuomba tell her hauna kitu au upo vibaya au whatever and eventually she will get the message... its possible she might be in touble kwao lakini asingekutana na wewe kwani singeweza ku survive chuo,,,answer...ANGEWEZA NA ANAWEZA......cheers!!!:smile:
   
 16. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asikuuthi roho yako kama tabia yake huiafiki basi isiwe tabu kumfahamu isiwe nongwa naiwe basi hata kwa sms unaweza mweleza.
   
 17. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Duh! Pole mkuu na ahsante kwa uzoefu wako. Naona hata mimi tunakoelekea nitaanza kutajiwa amount. Bora ulichomoa kuosha rungu maana huenda ungeweza kunasa moja kwa moja! Who knows?
   
 18. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Unamtreat kama mdogo wako?? mbona yeye anakutreat kama buzi lake, dah sijawahi sikia mwanaume anasema anamtreat mtoto mtanashati na mzuri kimaumbile kama mdogo wake...Safi sana hiyo
   
 19. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Anaweza mwenyewe au mpaka awezeshwe? Teh teh!
   
 20. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yaani hata heshima hana ya kuwa mimi na shemeji yake ni marafiki.. Yaani nadhani vijana waliozaliwa 90s kuja sasa,wakija kuwa 30 and above, sipati picha itakuwaje! Sipati hasa!
   
Loading...