Mke wa mtu ananiuliza napenda aje kwangu akiwa amevaaje?

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
552
104
Ndugu zangu; Mama huyu ni jirani yangu anatoa huduma ya M~pesa, sasa mara nyingi nkihitaji huduma hiyo hupenda kumtumia yeye kwa kumpigia simu au kumtumia msg kumwambia anishibishie account yangu na pesa yake huja kumpa baadae au hata siku ya pili naye hufanya hivyo bila matatizo.
Tatizo langu ni pale niendapo kumlipa pesa yake, mara zote hupokea pesa na kuniuliza napenda aje kwangu akiwa amevaaje?
Kwakweli hukosa jibu huwa nabaki kujichekesha; yapata mara ya 3 sasa nakutana na kauli hii.
Nini maana yake?
 
Kwanini unajichekesha?Kwani wewe unamuelewaje anapokuambia hivyo?Si we muambie aje vyovyote tu!
 
Ndugu zangu; Mama huyu ni jirani yangu anatoa huduma ya M~pesa, sasa mara nyingi nkihitaji huduma hiyo hupenda kumtumia yeye kwa kumpigia simu au kumtumia msg kumwambia anishibishie account yangu na pesa yake huja kumpa baadae au hata siku ya pili naye hufanya hivyo bila matatizo.
Tatizo langu ni pale niendapo kumlipa pesa yake, mara zote hupokea pesa na kuniuliza napenda aje kwangu akiwa amevaaje?
Kwakweli hukosa jibu huwa nabaki kujichekesha; yapata mara ya 3 sasa nakutana na kauli hii.
Nini maana yake?
Wenye kuangalia kwa makini hapo kwenye comment nilio highlighted, watakujua tu kama muongo.
 
mwambie aje amevaa na chupi ya chuma na funguo amuachie mumewe
 
Mwambie aje kama hivi

AAAAAopOVaUAAAAAAG25Nw.jpg
 
Wenye kuangalia kwa makini hapo kwenye comment nilio highlighted, watakujua tu kama muongo.

Kama ni uongo nilikua na haja gani ya kuandika hii kitu hapa; najua watekeleza haki yako ya msingi; ila hiyo issue ni kweli tupu"
 
Kwani una umri gani wewe kutojua anachotaka huyo mama? Lakini zingatia kuwa mke wa mtu ni sumu mbaya sana. Nisingekushauri umruhusu aje kwako, maana inaonyesha akija kwako mwaweza kufanya ngono. Lakini pia mnaweza mnajikuta mnaingia katika ngono pasipo kinga, hiyo pia ni hatari zaidi kwani endapo kati yenu patakuwa na mwenye maambukizi ya VVU au magonjwa ya zinaa basi kuna uwezekano wa kumwambukiza mweniye.
 
Aje amevaa Baibui .

Bana wee wanawake siku hizi wengine baibui zilivaliwavyo ni utata mtupu bora hata asiivae, baibui yapachikwa kwenye chupi, mwingine hata hiyo chupi haivai figure yenyewe utata mtupu kama huyooo, matokeo yake wakuta ze gembe yaigawa baibui huko nyuma
 
Back
Top Bottom