Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

I need to know please?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
wakuu habari za jumapili,kuna mwanamke mmoja ni rafiki yangu wa mtaa kwamba hata ikitokea misiba huwa lazima tuende wote,aliyeniunganisha na huyo mwanamke ni mume wangu ,huyo mwanamke ameolewa na...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Uko ktk relationship na mtu(a lady),anasema anakupenda sana,pia anakuchukulia kama mume wake mtarajiwa Lakini;anaweza kukaa wiki nzima bila kukujulia hali licha ya wewe kumjulia,anaweza...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
"Amerudi saa 2.30 usiku kutoka kwenye mazoezi ya kwaya, wakati anabadili nguo ndipo nilipomuona akiwa na nguo hiyo ya ndani ambayo ilikuwa na maandishi kwenye ufito, TMK WANAUME FAMILY...
7 Reactions
92 Replies
17K Views
To me its possible for a woman to accept the pregnant depend on her mission together with age and time to be in a family way ,but olso the opposite may be the fact.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naitwa Hamisi,kijana wa kitanzania miaka 29,elimu yangu ni diploma,ni mfanyabiasha nahitaji mdada kwa ajili ya kua mke wangu napenda mdada anaependa maendeleo siyo wakutaka mashindano ya nguo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu, huu ni mkasa wa kweli umemkuta jamaa yangu. Mkewe alikuwa na mahusiano ya siri na kizee cha kiitaliano, ili alifaidi penzi na pesa za kibabu, yule mdada alimtoroka mumewe na...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu!!naomba kuuliza,eti ni kweli wakaka wenye kuitwa majina ya Matt na chriss ndo wanaongoza kwa kushobokewa na wanawake hapa duniani?
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Imekaaje siku umepost thread ya kutafuta gf/bf huku jf. Then anajitokeza mtu ambaye yuko serious mnapanga kukutana. Unexpectedly unakuta ni dada/kakaako ambaye alikua anakusisitiza sana...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Unahisi unampenda?ndio swali lilo fatia..... Nikashindwa kumjibu mzee yule na maneno yakaanza kumtoka ohh.....mtoto mdogo unapenda wakubwa hujishangai wewe..... Kwa haraka nikaanza kusukuma ring...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imekuwa alfajiri, simu yangu inaita, naipokea na kusikia sauti ya kike, anajitambulisha kuwa ni mke wa rafiki yangu. Nahamaki kwa kudhani jamaa amepatwa na ajali au vipi kwani nae ni mlevi kwa...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Wana JF mapenzi ni kama manati inabidi kila mmoja wenu asiachie kwani akiachia yanaumiza sana, nakaribisha michango kuunga hoja au kukataa!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
It looks like women do all this to please us. We must be the culprits to blame for presence of artificial women in society. any dispute about that?
0 Reactions
4 Replies
909 Views
hey guyz mapenz nadhan yanajulikana na kila mtu anayajua ni mazuri hadi yanaleta furaha kupita kiasi ila bwana yanaumiza pia kupita kiasi so PlZ TOA MAWAZO AU TUPE EXPERIENCE YAKO YA UCHUNGU...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Kila mmoja wa wana MMU akiulizwa hapa kiwango chake kipo vipi katika sex atasema yupo fit. Kinabaki kimshangao kimening'ang'ania kikiniuliza ndani ya nafsi yangu hao waliopo uraianai...
5 Reactions
260 Replies
25K Views
Leo kuna baadhi ya magazeti ya memripoti daimond kuwa ana mganga wa mapenzi hapana naweza kulikataa swala zima la kusema kuwa diamondi anadawa ya mapenzi bali baadhi ya watu wamenukuu vibaya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana Jukwaa, Mimi ndugu yenu napenda kuchukua muda na fursa hii kuwaombeni msaada wa mawazo/ushauri. Mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 22 na bado sijahamua kuingia kwenye ulimwengu wa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
wana mmu wa mbeya!nimeingia mbeya sekunde hii,nipo hapa fm guest house! naomba mwenyeji ajitokeze atupeleke sehemu yenye kitimoto ya ukweli ya kuchoma!nasisitiza kitimoto ya kuchoma first...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Ktk maisha tulio nayo, vijana wengi tumekosa muelekeo kwa sababu ya kujihusisha ktk masuala ya kimapenzi hali hatujajianda na hatima yake tumekuwa ni watu akulalamika kwamba tatupendwi wengine...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
......ndipo ilipo furaha yangu. Kuna msichana mmoja kusema ukweli nampenda sana na nshawahi kumwambia ila bado hajanijibu. Kiukweli nshawahi kuwa na uhusiano wa muda mfupi na rafiki yake wa damu...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…