Eti hili lina ukweli kuhusu wakaka wenye haya majina?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Habari zenu wakuu!!naomba kuuliza,eti ni kweli wakaka wenye kuitwa majina ya Matt na chriss ndo wanaongoza kwa kushobokewa na wanawake hapa duniani?
 
Duuh kama naona leo watu watakavyooanza kubadili majina. Nahisi kuna uhusiano fulani na maneno yako kuna jamaa yangu anajina mojawapo katika majina hayo hapo juu duu ni NOMARRRRRRRRR
 
Mmh! Sasa mtu anajua kwanza jina ndo anashoboka or atomatically unashobokewa cause of that name? Logic ngumu hapa
 
Mhhhhhhhh! Umenikumbusha theories nyingine za majina ya kina Rose, mwajabu, kashinde, sikudhani, mwanamtama!
 
Do!tehe tehe..... kazi kweli kweli wenyewe wapo humu watabisha hao we ngoja wakujibu
 
nikikwambia jina langu utacheka sana...lakini wadada wanaonifata wanajaa AIR MSAE
 
Habari zenu wakuu!!naomba kuuliza,eti ni kweli wakaka wenye kuitwa majina ya Matt na chriss ndo wanaongoza kwa kushobokewa na wanawake hapa duniani?


Hilo suala halina ukweli wowote mkuu!. Sioni logic hapo, hayo majina yana relation gani na kuletewa shobo?. umezungumzia duniani, unahisi hayo majina ni percentsge ngapi ya watu wote duniani na umefanya tafiti kwa watu wangapi wenye majina hayo hadi ikapatikana hiyo conclussion?

Jina litabaki kuwa jina tu na kupendwa kwa mtu hakutegemei sana na jina maana kila mtu/mwanamke ana sifa zake kuchagua yule ampendaye na sio jina. Inakuwaje pale mwenye jina hilo akiwa shoga, mwanamke atapenda awe nae kama mpenzi wake?

Huu ndio mtazamo wanu mkuu!
 
nikikwambia jina langu utacheka sana...lakini wadada wanaonifata wanajaa air msae

yeah_issue hapa sio jina ni money..pesa!...ukibisha njoo kwetu kuna mtu anaitwa manji(wala si majj/chriss)umuone anavyoshokewa na ma duuuuuuu.
 
Back
Top Bottom