Kamuacha mumewe kakimbilia kibabu muitaliano! Part 1...

Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,594
9,338
Ndugu zangu, huu ni mkasa wa kweli umemkuta jamaa yangu. Mkewe alikuwa na mahusiano ya siri na kizee cha kiitaliano, ili alifaidi penzi na pesa za kibabu, yule mdada alimtoroka mumewe na kumkashifu kuwa yeye (mwanaume) ni masikini, na hakuolewa ili apate shida. Yule bwana hakuangaika kumtafuta aka-move on pamoja ilikuwa ngumu kusahau kwani walishakaa kwenye ndoa miaka mitav na wana mtoto wa kike tayari.

Yule mzungu akawa anarudi kwao Italy, akaamua kuondoka na yule dada ila kwa sharti kuwa anataka yule mtoto abadilishwe jina la ukoo apewe la yule mzungu. Bidada kuona anaenda ulaya akakubali, wakafanya taratibu zote na wakaenda italy. Yanayomkuta huko nitawaletea mkasa huu kwenye part two, dont miss!
 
Wacha nimalizie naona mtanitoa macho, yule dada amefika italy, mzungu anamzuia kutoka kwenda sehemu yeyote na wanakaa kijijini kwenye mashamba ya ngano. Kumbe mzungu hana hela na ni mnyanyasaji kweli. Ameshamwandikisha mtoto kama wake kwa hiyo dada anaogopa kuondoka na mtoto kwani ashapata uraia wa Italy atakuwa amemtorosha. Baada ya kukutana na mtanzania ambaye ni doctor kule ndiyo akamuelezea shida na manyanyaso anayopata kutoka kwa yule babu, wakati mwingine humuingilia kinyume na maumbile na pia anatabia ya kum-lick yule mtoto na huwa anatabia chafu nyingi tu. Kapata msaada wa simu kampigia mumewe mbongo, jamaa keshamsahau na hataki kusikia chochote kwani nae aliamua kwenda kufanya Masters yake south africa na ameshapata mwanamke wa botswana wanataraji kufunga ndoa mwezi july. Nimekaa nikatafakari nikamuonea huruma sana ili nikikumbuka alichomfanyia mshkaji najisemea akome tatizo natamani kukasaidia kale kamalaika. Story imeishia hapo wakuu. Karibuni na asante kwa kuifuatilia.
 
Kwanza, huyo dada anavuna alichokipanda, lakini baba wa mtoto mimi ndio naona **** amepata malalamiko hasa yanayomhusu mtoto wake akiwa ni mwanaume inabidi asahau matatizo na huyo mama bali amwokoe huyo mtoto.

Pili, huko hakuna mambo ya child protection, wenzetu wazung huwa wako seirous na mambo haya. I am surprise huyo mama hafikirii kumtolea taarifa huyo baba. Kama ameshapata uraia kitu gani kinachomweka kwa huyo bwana anaweza kuzamia kwengine na isiwe matatizo.
 
inaonyesha huyo babu tangu mwanzo alikuwa na agenda zake.uchafu gani huo anaowafanyia?hata kama ana uraia,kwani hawawezi kuondoka?tamaa za kupenda wazungu ndio hizo.
 
Tamaa mbele mauti nyuma.huyo mkaka amue tu kumsamehe for the sake of mtoto wao.
 
Yanayomkuta huko nitawaletea mkasa huu kwenye part two, dont miss!

:biggrin1: huna haja ya kuleta part 2 mana nahisi tunajua, kwanza waitaliano wanapenda mande na pia wanapenda kuruka ukuta namuonea huruma huyo bibiee...wanawake zetu wa kitanzania wanababaishwa sana wakionaga wazungu wanaona basi wameshajitoa kimaisha...wazungu wengine ni maskini tu kama sisi na wabahili tofauti yao na sisi ni rangi tu
 
Kwanza, huyo dada anavuna alichokipanda, lakini baba wa mtoto mimi ndio naona **** amepata malalamiko hasa yanayomhusu mtoto wake akiwa ni mwanaume inabidi asahau matatizo na huyo mama bali amwokoe huyo mtoto.

Pili, huko hakuna mambo ya child protection, wenzetu wazung huwa wako seirous na mambo haya. I am surprise huyo mama hafikirii kumtolea taarifa huyo baba. Kama ameshapata uraia kitu gani kinachomweka kwa huyo bwana anaweza kuzamia kwengine na isiwe matatizo.

Mwanamke hajapata uraia wa kule ni kwamba amestole way kwa kuextend muda wa visa, hawezi kuleta songombingo yeyote zaidi watamdemote na amuache mtoto kule kwani yule mtoto si mtanzania tena hata akiamua kufuata legal proceedings mtoto atapata shida sana.. Kumbuka baba wa mtoto alikuwa uwezo mdogo na akatukanwa iweje wewe umlaumu? Kweli wanaume tumeumbwa mateso! Ila sa hv nae anakula bata botswana maisha yamenoga ndo unataka amuache wake mkewe amrudie mwanamke wa kibongo mpenda wazungu? No way, muache muitaliano amchanue mpaka awe na shimo kama kisima.
 
Tamaa mbele mauti nyuma.huyo mkaka amue tu kumsamehe for the sake of mtoto wao.

Keshapata anaempenda, na wamehama wanaishi botswana, its too late kawa mpenda vibabu vya kizungu. Na amekuwa anamchezea kule kwenye pachupachu mtoto, sasa mama akashanga mtoto anakuwa anajifanya vile ndo kinamuuma zaidi.
 
:biggrin1: huna haja ya kuleta part 2 mana nahisi tunajua, kwanza waitaliano wanapenda mande na pia wanapenda kuruka ukuta namuonea huruma huyo bibiee...wanawake zetu wa kitanzania wanababaishwa sana wakionaga wazungu wanaona basi wameshajitoa kimaisha...wazungu wengine ni maskini tu kama sisi na wabahili tofauti yao na sisi ni rangi tu

True that.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom