......ndipo ilipo furaha yangu.
Kuna msichana mmoja kusema ukweli nampenda sana na nshawahi kumwambia ila bado hajanijibu.
Kiukweli nshawahi kuwa na uhusiano wa muda mfupi na rafiki yake wa damu...
Najua Above 18 mtanielewa tu. Nimepata kuisikia kwa wanaume kadhaa kuwa
pale wanapokuwa na magari yao wanapoendesha kuelekea kileleni huwa
wanajenga fikra za kuendesha magari mengine. Yaani...
I'm 26yrs old male,persuing a bachelor degree in one of the Universities in dar.I need a girlfriend with a significant understanding capacity, who can confidently argue intelligently, with...
mapema ni Sawa na kutafuta kitu cheus titi ndani ya giza jeusi totoro so my yangest star they should save there energy and store it still the appropriate time
Ninapoandika waraka huu ni dakika moja baada ya kumalizika birthday yako.Hongera.
Binafsi nimekuwa memba yapata muda sasa ndani ya jamvi hili la jf.Kama ni kuona nimeona mengi humu.Kwa kifupi i...
hii kitu nimekuwa nikijiuliza sana
1. kwanini inakuwa ngumu kuacha kufuatilia anayofanya ex wako though mlishabreak up.... tena wataka kujua anatoka na nani na yakoje mahusiano yao
2. kwanini...
...kina dada hunishangaza, pamoja na kutaabika kujibebesha mizigo kama hii, kwanini Khanga haikosekani kwenye mikoba yenu???
Eti watu wazima wenzangu, nini siri ya Khanga hizo, wanaenda nazo...
Nina mpnz wangu nampenda sana,nampatia kila kitu anachotaka ila nashindwa kuamini kama ananipenda kweli kwani tabia zake hazieleweki! kwangu anakuja akiwa na shida 2,wakati mwingne anaongea na...
Pilau ale yeye tena kwa kificho huku akjijua ni mwizi tu.............akiwa kwenye chumba alichokishindilia komeo tena la viro ili asije kubambwa na mwenye mlo wake.............baada ya uporaji wa...
kumpenda nilimpenda sana mpaka nilifikia hatua ya kumtorea barua ili awe wangu wa kufa na kuzikana,ila tatizo likaja baada ya kutoa barua kwao binti kawa na kiburi kama nini sijui,tofauti kabisa...
mimi ni baylss ni mwanaume na nina umri wa miaka 19, ni mrefu maji ya kunde.
Hobbie yangu napenda basketball. Ni Mtanzania na hometown yangu ni mwanza.
napenda mpenz mwenye real love umri wowote...
Wastara alipata ajali na kupata ulemavu kipindi yuko na sajuki.je Sajuki angemuacha kipindi kile leo tungekua tunaongea nn?Mungu mponye Sajuki na endelelea kumpa moyo wa ujasiri na ushujaa Wastara...
nimetoswaa wee mpaka nimechoka . Kuna dada nimetokea kumpenda saaaana hapa chuo lkn nikiangalia level zetu economically tofauti kabisa ,hata sijui nifanyeje .....aaargh
Kusababisha ndoa zivunjike?
Ndugu wa mke au Ndugu wa mume?
Na unahisi kwa nini?
Kama hauko kwenye ndoa;
kumbuka ulivyokuwa kwa wazazi, ni kina nani walikuwa wanahatarisha/waliosababisha...
Kitu kinachonikera kazini kwangu,ninaona wafanyakazi wenzangu chini ya Mkurugenzi wanajikomba komba kwa boss.HIVI KWA NIN?nikutafta cheo?
Je huwezi pata bila kujipendekeza?Akijependekeza ujue...
mm ni dada wa tz, yaani mbongo mwenzenu nina matatizo kwenye mahusiano yangu naomba ushauri.......... niko na guy 1 2likua na relation nzur kias miaka 3 iliyopita then 2kawa apart az i went far...
Habari wapendwa wa JF, nimekaa nikafikiria sana hili swala nikaona bora niliweke jamvini tupeane mchango. Unakuta umeoa na mwanamke alikuwa anakutegemea kwa kila kitu ingawa kuwa nae anafanyaka...