hili nalo fundisho kwetu

Sweetlol

Senior Member
May 9, 2011
102
24
Wastara alipata ajali na kupata ulemavu kipindi yuko na sajuki.je Sajuki angemuacha kipindi kile leo tungekua tunaongea nn?Mungu mponye Sajuki na endelelea kumpa moyo wa ujasiri na ushujaa Wastara amsaidie vyema Msanii wetu mpendwa (mme wake)Sajuki
 
ni mfano mzuri wa kuishi viapo vya ndoa kwa vitendo... wengine wanaimba tu kama mashairi siku hizi, lakini mmojawao anapopata tatizo mwenzake anatoka nduki..
 
Naona matatizo yamewaandama kama anavyodai Wastara, kweni alipata kilema cha wapi?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom