H Han'some JF-Expert Member Feb 26, 2012 283 76 May 1, 2012 #1 Awe mkatoliki kama mimi, miaka 18-22. Aniandikie pm. Mimi nina miaka 25
S Shangazi JF-Expert Member Mar 24, 2009 307 29 May 1, 2012 #3 Mwishowe utamtongoza dada yako wewe. Wachumba hawatafutwi hivo ati. Wanaume wengine Hovyoooooo!
D Dine Member Apr 19, 2012 57 6 May 2, 2012 #4 Mbona unakuwa mbaguzi sana unaweza kupata mchumba mlutheri then akabadili kuwa utakavyo
N ng'wanishi Member Jan 23, 2012 34 1 May 5, 2012 #5 Baba Collin said: hawapo humu Click to expand... hahahaha