Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu habari za leo? Mara nyingi nimekuwa nikikumbana na hilo jibu "nina mtu"... Hii hutokea baada ya kufanya juhudi nyinginezo za kumuweka mtu karibu, nimekuwa mtu wa kukata tamaa sana...licha...
1 Reactions
58 Replies
7K Views
An intelligent wife ''An Intelligent Wife Is One Who Makes Sure She Spends So Much That Her Husband Can't Afford Another Women" New SIM to surprise her husband Woman Buys A New Sim Card Puts It...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msukuma- mama masanja twende tukakutanishe makojoleo. Mhaya- infwakt mama koku hebu twende tukaperfom. Mkurya- wee mama bhoke hebu njoo nikurenge. Masai- mama yeyoo hebu nipe ile kitu namesa...
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Salaaaaaaam! Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwenu,kwa kazi nzuri ya kuweza kuweka jukwaa la wapendanao,hatimae na mimi nimempata mpenzi wa moyo kwa sifa zilezile nilizotoa! Pia nawashukuru...
3 Reactions
90 Replies
9K Views
Naomba mnisaidie wapi kuna club nzuri za michezo kwa ajili ya watoto (umri miaka miwili mpaka saba) dar es salaam.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
10 things a girl probably doesn't know about a guy : 1. Guys are more emotional then they think, if they loved them truly. 2. Guys may be flirting around all day but before they go to...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Juzi my fiancee kanifuata ofisini akaniaanza kunihubiria makosa yangu ya kuwa 'too close' na one of my female frends(ambaye tulishakuwa na problem naye tena hapo nyuma), akanihukumu hukohuko...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Imagine mpenzi wako awe ana cheat kama wewe au zaidi yako. kuna watu wanajipa moyo kuwa wapenzi wao ni waaminifu wakati yawezekana akawa ana cheat zaidi yako. Kuwa na wapenzi wengi sio jambo la...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Siyo rahisi kujua kilichoko ndani ya moyo wa mwanadamu Mara nyingi kauli hupimika lakini kamwe siyo dira ya ukweli Jicho laweza kurashiarashia nia lakini siyo kisemea moyo Tabasamu laweza...
17 Reactions
45 Replies
6K Views
Hizi mbinu ni muarobaini wa wake/ma-GF korofi na utawashikisha adabu...............nimeifupisha kutoka kwenye hii makala ya Don’ts for husbands 1) Usifue nguo zako hata siku moja hakikisha...
6 Reactions
212 Replies
32K Views
Nakumbuka nilipokuwa primary school tena darasa la pili tulikuwa na kale ka tabia ka kiume ka sijui ni kupenda au what ist called but ni kwamba unaweza kuwa una "wachumba" kumi ambao ni wewe peke...
0 Reactions
55 Replies
10K Views
HALOO MABIBI NA MABWANA MABACHELA WENYE WACHUMBA ZAO NA KAZALIKA NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWAKARIBISHA KATIKA HARUSI YA KIJANA MAZOGOLA ITAKAYO FANYIKA TAREHE 2/6/2012 KATIKA UKUMBI WA...
0 Reactions
7 Replies
994 Views
Mtoto ni mkali kweli kweli..nampenda kweli kweli..lakini ..its two weeks now since i started dating her..all my deals that were to happen this week and last week zooote zimeharibika..naanza kuhisi...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Familia yetu iliwahi kuishi jirani na familia ya mama na bibi mmoja miaka ya 90.Mama yule alikuwa na mtoto mwenye ulemavu wa akili (zamani tunaita kichaa)......Kwa kuwa tulikuwa wadogo tulikuwa...
0 Reactions
49 Replies
3K Views
Yupo kijana ameniletea hii changamoto. Mke anadai talaka baada ya ndoa (ya Kiislamu) isiyozidi miaka miwili. Hiyo kwake si hoja kwa sababu mke ameamua hata baada ya vikao vitatu vya usuluhishi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hizo ndizo sehemu za ubongo wa akina mama sio wote ila sehemu kubwa!
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Bandugu Jana na Leo nimekutana na majina matatu ya KIBANTU/KIAFRIKA ambayo kwa kweli yamenivutia sana. Naomba niwashirikishe kuyatambua na kuyajua majina hayo. 1. MAPENZI SUKARI (F) 2. PENDO...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kitu kinacho itwa Mapenzi hakina ushauri.. Mapenzi ni hisia ya mtu ya ndani nahuongozwa na fikra za mtu binafsi,ukipatwa na tatizo la mapenzi usipende kuomba ushauri wakati ushahamua maamuzi yako...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wapendwa nawaamkua. Nimekaa hapa mwenyewe na konyagi zangu kichwani nikajikuta najiuliza what is the power of second chances?...........Umemkuta au gundua mwenzi wako anacheat na akakiri but...
7 Reactions
80 Replies
6K Views
Jamani hivi kwa nini haya mambo hutokea kabla na baada ya ndoa?
0 Reactions
3 Replies
984 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…