The Power of Second Chances.............

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Wapendwa nawaamkua.

Nimekaa hapa mwenyewe na konyagi zangu kichwani nikajikuta najiuliza what is the power of second chances?...........Umemkuta au gundua mwenzi wako anacheat na akakiri but akabembeleza na kuomba msahau yalopita muanze upya........unaamua kumpa nafasi nyingine ya kuprove trust yake....................

Najiuliza inawezakana kweli? Maana kwa mtazamo wangu finyu wa mawazo, mwenye mapenzi ya kweli ana uwezo wa kuresist kukuumiza (anaweza akacheat kukidhi mahitaji ya tamaa zake but atamake sure kuwa hapitilizi na wala hakuumizi yaani atakuprotect) sasa akiamua kuiacha na kuipa nguvu nyumba ndogo kiasi cha yenyewe kukutambia hadharani hadi akakugusa mkono kipofu wewe kuwa bwana eh...bwana/bibi ulonaye sote twala kwa zamu ..............je kweli second chances zinalipa??

Kuna mtu JF nataka kumpa second chance...................hahahaha
Karibuni waungwana
 
Nakumbuka nlishakuchapaga kwa kuchelewa kulala. Saa ngapi saa hizi? Hujakoma? Ngoja nije hapo!
 
ODM anaamini hakuna second chance isiyo na maumivu ya pili. Kama umeamua kutoa second chance basi na moyo wako uweke kwenye utayari wa kuvumilia second blow....! Kama hauko tayari kwa hilo basi jiandae kufa kwa mapresha.

Jasiri haachi asili, Niape?
 
Sijawahi experience iyo ki2 ebu nisubiri initokee then takuja kukwambia nimechukua uamuzi gani
 
Na kiukweli tena, hakuna kitu kibaya kama upweke kama umeshindwa kuukabili. Ni heri uvumilie maumivu ya blows za second chance kuliko kuteseka na upweke....

Si wajua dawa ya moto ni moto? Akikupa second blow nawe unamrudishia kwa matatu mfululizo..... Ila hakikisha hamiliki silaha, Misiba ya kimapenzi si mizuri sana, afadhali tena hata upweke lol HAKI YA MUNGU VILE.
 
Hii salamu siitikii!
Hapo kwenye mabano ukijumlishia na hayo mawazo yako yamebanwa na lace wig, ndo ugomvi wangu na wewe. Ngoja nimuite Nyamayao manake naona sweetie wa Kaizer kapelekwa fungate ya tatu.
Wapendwa nawaamkua.

Maana kwa mtazamo wangu finyu wa mawazo,(anaweza akacheat kukidhi mahitaji ya tamaa zake but atamake sure kuwa hapitilizi na wala hakuumizi yaani atakuprotect)
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, afu blow huwa zinaambatana kama zimepangiliwa. Its like all hell break loose. Ikianza ya kwanza tu haupiti mwezi kabla ya pili na ya tatu hazijakuja!
ODM anaamini hakuna second chance isiyo na maumivu ya pili. Kama umeamua kutoa second chance basi na moyo wako uweke kwenye utayari wa kuvumilia second blow....! Kama hauko tayari kwa hilo basi jiandae kufa kwa mapresha.

Jasiri haachi asili, Niape?
 
Hahaha, afu blow huwa zinaambatana kama zimepangiliwa. Its like all hell break loose. Ikianza ya kwanza tu haupiti mwezi kabla ya pili na ya tatu hazijakuja!

King'asti, unahisi amekuelewa au nyagi lishashika hatamu mtaa wa chini? Huyu wa kutandika bakora huyu! Au kama vipi labda aje Pope mwenyewe kuharamisha second chances...lol
 
Last edited by a moderator:
Mjukuu wangu MwanajamiiOne,

Naamini haya umeyaandika kwa akili na utashi wako na wala siyo msukumo wa kinywaji....

Kwa maelezo yako, mtu aliyefikia hatua hiyo uliyoieleza, hatishii nyau bali anafanya mkweli. Umpe second chance au la, hawezi kurudi nyuma!!

Sasa unaamuaje?? ..Kulia kwenye side place au dinner plate?

Babu DC!!
 
some broken heart never mend, some memories never erase, some tears will never dry..................., dah second chance bana ukiitoa inabd ujiandae ni wachache sana kwa kweli wanaojirekebisha na wasirudie tena kucheat, mwenzi wako anapojua umeshajua kuwa anacheat huwa ni rahc zaid kuendelea na katabia coz mwanzon huwa anajificha usijue, akijua unajua anafanya bac tena hapo mulika mwizi, kama hamko kwenye ndoa tafakar na uchukue hatua,
 
Huyu mjukuu wako asisingizie nyagi wala nini! Tulishakubaliana mi nakata viboko walau mizigo miwili lumbesa, napakaa pilipili afu AshaDii na Nyamayao ndo wanamcharaza manake mie ntamuua!
King'asti, unahisi amekuelewa au nyagi lishashika hatamu mtaa wa chini? Huyu wa kutandika bakora huyu! Au kama vipi labda aje Pope mwenyewe kuharamisha second chances...lol
 
Last edited by a moderator:
Huyu mjukuu wako asisingizie nyagi wala nini! Tulishakubaliana mi nakata viboko walau mizigo miwili lumbesa, napakaa pilipili afu AshaDii na Nyamayao ndo wanamcharaza manake mie ntamuua!
King'asti mpe second chance banaa kwani wewe haujui power of second chance
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom