since i started dating her..mambo hayaendi kabisa..

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,669
40,917
Mtoto ni mkali kweli kweli..nampenda kweli kweli..lakini ..its two weeks now since i started dating her..all my deals that were to happen this week and last week zooote zimeharibika..naanza kuhisi kuwa huyu mtoto anagundu..nimteme??
 
Labda kama amekuchukulia muda wako mwingi, lakini hiyo sio sababu ya kumtema
 
Ndugu,

Mteme, mteme tu huyo maana wengine uwa ni nuksi ILA kabla hujafikia uamuzi huo hakikisha mara kumi mipango yako ilikuwa imepangwa vizuri. Ulikuwa umejipanga vizuri isije ikawa wewe ndio tatizo. Vinginevyo Mteme, mteme ndugu yangu.
 
Mtoto ni mkali kweli kweli..nampenda kweli kweli..lakini ..its two weeks now since i started dating her..all my deals that were to happen this week and last week zooote zimeharibika..naanza kuhisi kuwa huyu mtoto anagundu..nimteme??

Atakuwa jini huyo mfuate mtoto wa Sheikh Yahya akushughulikie
 
kwani hizo dili zako si zimekwama kutokana na sababu fulani mfano uzembe, kukosa mtaji, kuchelewa kupata taarifa n.k sasa una relate vipi na mahusiano yako? straggle mwanaume usiwe na tabia za kiswahili huta songa mbele.
 
none of the above mzee. everything is in order..the issue is..after i met her..i was only waiting for things to fall in itheir places , but after i met her everything started to fall apart..mpaka nikaanza kujiuliza nini kinaendelea mzee.
 
Yani two weeks only umeshaanza kumjudge mwenzio hivyo?napata wasiwasi na mapenzi yako kwake..
Kwenye maisha kuna changamoto kibao sio lazima kila siku mambo yawe mteremko ndugu!
 
Mtoto ni mkali kweli kweli..nampenda kweli kweli..lakini ..its two weeks now since i started dating her..all my deals that were to happen this week and last week zooote zimeharibika..naanza kuhisi kuwa huyu mtoto anagundu..nimteme??

Usikute uliingia na gia kama uliyo anza nayo hapo juu ya aisee we mtoto ni mkali takupataje?? Watu wengine huwaga wanajudge vitu vidogo sana unajikuta unakosa mke hivihivi
 
Nchi hii haitakaa iendelee, nakujua wewe uliyeleta hii mada, !! uwe mzembe alafu useme eti ni sababu ya demu, Mungu na akuoneshe kwamba unachokidhania ni potofu na akupe fundisho kubwa zaidi hata baada ya kuachana nae
 
Mtoto ni mkali kweli kweli..nampenda kweli kweli..lakini ..its two weeks now since i started dating her..all my deals that were to happen this week and last week zooote zimeharibika..naanza kuhisi kuwa huyu mtoto anagundu..nimteme??

Mmmeze tu
OTIS
 
Tupe mifano miwili ya deals ambazo zilikuwa set on target then zikacollapse na mazingira ya kucollapse. Ukifanya hivyo honestly bila kuweka chumvi mi ntakupa a very objective advise on what decision to take. Otherwise, just monitor the progress, if she is the reason you will see over time. No secret under the sun.
 
Mtoto ni mkali kweli kweli..nampenda kweli kweli..lakini ..its two weeks now since i started dating her..all my deals that were to happen this week and last week zooote zimeharibika..naanza kuhisi kuwa huyu mtoto anagundu..nimteme??

inaweza ikawa ni coincidence au inaweza ikawa ana hatari huyo..maana mh siku hizi story za uchawi na kulogana ninazozisikia bongo naogopa hata kumsogelea mtu yoyote...:embarrassed1:
 
Back
Top Bottom