Kuharibika kwa ndoa na ulezi wa mtoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuharibika kwa ndoa na ulezi wa mtoto

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by O-man, May 6, 2012.

 1. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Yupo kijana ameniletea hii changamoto. Mke anadai talaka baada ya ndoa (ya Kiislamu) isiyozidi miaka miwili. Hiyo kwake si hoja kwa sababu mke ameamua hata baada ya vikao vitatu vya usuluhishi. Baba anataka mto wake wa kiume wa miezi 8. Mke anasema asubiri mpaka atimize miaka 18 na katika muda huo awe anapeleka matunzo ya sh. 150,000 kwa mwezi. Hii imekaaje wakuu?
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  unfortunately mtoto mdogo kama huyo anakaa na mama yake... huyo baba akibakia nae siku akienda bar au kwa kimada yake atamuachia nani mtoto...
   
 3. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sawa mkuu. Wazazi wa huyu kijana, ambao wote wapo, wamekubali kumlea huyo mtoto.
   
 4. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Kwani sheria inasemaje?nijuavyo mie kuanzia miaka 7 ndio mtoto anaweza kuchukuliwa na baba kama ndoa imevunjika,kwa umri huo lazima alelewe na mama
   
Loading...