Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,476
Bandugu Jana na Leo nimekutana na majina matatu ya KIBANTU/KIAFRIKA ambayo kwa kweli yamenivutia sana. Naomba niwashirikishe kuyatambua na kuyajua majina hayo.
1. MAPENZI SUKARI (F)
2. PENDO SAFARI (F)
3. MAPENZI MIMBA (M)
Majina mawili ya kwanza ni ya waalimu wa shule za msingi na la mwisho nimekutana nalo mtaani tu.
Tafadhali kama kuna wengine wamekutana na majina ya KIBANTU yanayofutia kama hayo atujuzu na tujangie kama yanafaa katika jamii hasa kwa watoto wadogo kuyataja. Pia kwanini wazazi wao wakawapa majina hayo kama kuna mweenye fununu.
Nawasilisha,
Ndimi BAZAZI.