Mnaakaribishwa wooote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnaakaribishwa wooote

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mazogola, May 6, 2012.

 1. Mazogola

  Mazogola Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  HALOO MABIBI NA MABWANA MABACHELA WENYE WACHUMBA ZAO NA KAZALIKA NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWAKARIBISHA KATIKA HARUSI YA KIJANA MAZOGOLA ITAKAYO FANYIKA TAREHE 2/6/2012 KATIKA UKUMBI WA MAKUTANO PALE MWANZA HOTEL KARIBUNI SANA WADAU WOTE WA JAMII FORUM.
  If ur realy want to come pleas Ni pm nikupe maelekezo
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hongera, I hope hakuna mchango...
   
 3. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Hongera,ubwabwa ni bure au kuna mchango?lol
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,838
  Trophy Points: 280
  hongera sana atleast utakuwa umepunguza wadada single wa humu jf. unamuoa nani/ preta, madame x,mwali, erotika , smile,kauga,AshaDii au nani?
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  jamani kungekua na mchango mngeambiwa nyie si mmekaribishwa....
   
 6. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hongera sana...:flypig:
   
 7. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Na card je!!!
   
 8. Mazogola

  Mazogola Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani mchango upo kamakawaida si mjua gharama za maisha kidogo ziko juu kidongo
  kwa single itakuwa 30000 na dauble 50000 karibuni sana wapendwa
   
Loading...